Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

Urusi aiweziku kubali kibaraka kama Heche na Lisu wakatawala majukwaa kueneza uongo na porojo amshukuru Rais ni mpole

Waendelee kujidanganya hivyo hivyo
Hivi unapoandika namna hii kichwani mwako huwa kumeingiwa na sumu gani, au siku zote uko hivi hivi?

Sasa anza kusafisha hiyo sumu iliyo kujaa kichwani, kwani ukombozi wa nchi hii unakuja.
 
Pumbavu nyie ukombozi wa nchi huu ulishafanyika na kamwe kikundi cha upinde akiwezi vunja ukombozi uliofanywa na Tanu

Endeleeni kujidanganya huku mmejificha kwenye keyboard na mikwara ya kishamba

Hao waliopo front mnaowaamin mbona wengi mchele tu
 
Wewe ni takataka tu ambayo ipo tayari kutupiliwa mbali pamoja na uchafu mwingine. Wakati wenu umewadia sasa.
 
Back
Top Bottom