Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

Heche ni kizazi ambacho kinaweza kuiokoa hii nchi, Taifa linataka watu strong jamii ya Heche sio hawa vijana machawa machawa wanaowaza maisha mepesi mepesi.
Huyo bwege mvuta bangi labda akuokoe wewe. Hv itokee hao wahuni ndio viongozi wa nchi yetu? Mungu atuepushe mbali. Kuna calibre ya mtu kiongozi huko chadema aliyebaki labda Mnyika tu, vijana wazuri km kina Silinde wameshaondoka
 
Ukute wewe ni mtu mzima hat 60+ huko. kenge kweli,😡 dawa zinawaingia eenh!!mtakuja tukanwa na watoto wenu humu🚮🚮🚮🚮. Acheni kucheza na akili za watu..ni vibaya😡😡😡😡😡😡
Acha bangi we ngedere
 
Inauma sana.
Hivi mtoto wako akiwa anateseka kama Lissu unajisikiaje?.
Risasi, kesi lukuki za uongo.
Dunia hii tutaiacha.
Viongozi hii dhambi itawararua.
Tafadhali sana , muachieni.
Huyo ni mpumbavu ndio maana, na hiyo ni kawaida ya wapumbavu. Lissu ni pumbav na hajui anataka nini na atakipataje au anafikiri uongozi wa nchi ni km uenyekiti wa chadema,?
 
Back
Top Bottom