HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Nipo kwenye industry na hizi higher learning institutions kwa miaka zaidi ya 10 hao HESLB wenyewe nimefanya nao kazi, deadline za government institutions ni strictly huwezi ku bargain nazo maana inakuwa ni system ikifungwa imefungwa labda board ikae isogeze mbele kidogo kwa maslahi ya umma lakini si kwaajili ya watu wachache wanao buy time ili wapate mkopo.

Chuo gani icho kinafanya usajili wa mwanafunzi wa Degree January? wewe labda umesoma izo college za gorofa ya tano Posta. Acheni kudanganya umma apa.

Rai yangu watu watafute njia nyingine ya kwenda vyuoni deadline ya usajili ni week chache mbele msije mkapoteza nafasi mlizopata uko vyuoni, ukikosa mkopo kuna room ya kuappeal na ni vyema u appeal ukiwa chuoni umeshafanya usajili.
 
Akaunti yangu imebadilika kuwa SIPA ila nikiangalia allocation wanasema "No approved allocations available for S........"

Hii inamaanisha nini wakuu?
 
Watu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisi
Vipi akaunti yako imebadilika kuwa SIPA?

Ya kwangu imebadilika leo ila nikiangalia allocation wanasema "No approved allocations available for S......."

Sasa sijui kama nitapangiwa mkopo ama ndo nimekosa kwa statement hii.
 
Nipo kwenye industry na hizi higher learning institutions kwa miaka zaidi ya 10 hao HESLB wenyewe nimefanya nao kazi, deadline za government institutions ni strictly huwezi ku bargain nazo maana inakuwa ni system ikifungwa imefungwa labda board ikae isogeze mbele kidogo kwa maslahi ya umma lakini si kwaajili ya watu wachache wanao buy time ili wapate mkopo.

Chuo gani icho kinafanya usajili wa mwanafunzi wa Degree January? wewe labda umesoma izo college za gorofa ya tano Posta. Acheni kudanganya umma apa.

Rai yangu watu watafute njia nyingine ya kwenda vyuoni deadline ya usajili ni week chache mbele msije mkapoteza nafasi mlizopata uko vyuoni, ukikosa mkopo kuna room ya kuappeal na ni vyema u appeal ukiwa chuoni umeshafanya usajili.
Cha ajabu niki login kupitia kipengele cha beneficiary inakubali.

Sasa beneficiary vipi wakati mpunga hakuna mkuu.

Ama nivute subira labda wanaweza kunifanyia allocation?
 
Pia naomba kuuliza humu kama kuna akaunti ya mdau ilibadilika kuwa SIPA lakini alipoangalia allocation akakutana na statement "No approved allocations available for....." halafu baadae akaja akakuta amefanyiwa allocation ya mkopo.

Kama mtu aliyekutana na situation hii yupo na baadae akafanikiwa anipe muongozo.
 
Vipi akaunti yako imebadilika kuwa SIPA?

Ya kwangu imebadilika leo ila nikiangalia allocation wanasema "No approved allocations available for S......."

Sasa sijui kama nitapangiwa mkopo ama ndo nimekosa kwa statement hii.
Hapana kwakwelii majibu yako vilevile
ni kama nitakosa huu mwaka.

Alhamdullilah tutafute ada tukalipe sasa pesa za watu.
Kazi iendelee
 
Pia naomba kuuliza humu kama kuna akaunti ya mdau ilibadilika kuwa SIPA lakini alipoangalia allocation akakutana na statement "No approved allocations available for....." halafu baadae akaja akakuta amefanyiwa allocation ya mkopo.

Kama mtu aliyekutana na situation hii yupo na baadae akafanikiwa anipe muongozo.
Inawezekana mzigo unasubiri tu kupewa mwaya hongera sana
 
na ambao imechange into sipa,ila haiwaoneshi loan mkuu, tatizo nn?
Vipi ulifanikiwa mkuu? Namaanisha ilivyoandika No approved allocations ilikuja ikakuonesha amount ama hadi leo bila bila?

Maana ya kwangu ime change leo into SIPA lakini ukumbe unaokuja niki search ni kama kwako ulovyosema.
 
Zipi hizo au MD..maan mim nimepat MD na wanangu wengine lakin wote holaaaaa.. hhhhhhhh huu mwaka..kwel unatakiw uwe optimistic kwelikweli
MD na Mkopoo hujapataa?? Mbombo ngafuuu
 
Hapana kwakwelii majibu yako vilevile
ni kama nitakosa huu mwaka.

Alhamdullilah tutafute ada tukalipe sasa pesa za watu.
Kazi iendelee
Naamini itabadilika tu mkuu ni suala la kuvuta subira tu maana hata mimi imebadilika leo baada ya ujumbe wa wait for final results kukaa kwa siku kadhaa.

Kuwa na imani tu mkuu hope kufikia jioni itabadilika na kama hadi jioni haijabadilika bado tunao muda hadi kufikia ijumaa.

Ilibadilika usisahau kuleta mrejesho humu mkuu.
 
Hivi hizi hela tulizoandikiwa kwenye SIPA zetu, huwa zinachukua muda Gani ili kutufikia wanufaika mikonon maana binafc masomo chuoni yameanza Leo rasmi so nahtaji niitumie hela niliyoandikiwa ninunue vifaa vya kusomea km laptop nk.

Wazoefu naombeni muongozo wenu kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mchechetoo weyee khaaah
 
Naamini itabadilika tu mkuu ni suala la kuvuta subira tu maana hata mimi imebadilika leo baada ya ujumbe wa wait for final results kukaa kwa siku kadhaa.

Kuwa na imani tu mkuu hope kufikia jioni itabadilika na kama hadi jioni haijabadilika bado tunao muda hadi kufikia ijumaa.

Ilibadilika usisahau kuleta mrejesho humu mkuu.
Yani Kuna muda unatamani kulia sema ndio utu uzima kujikaza, nyumbani umeacha mzazi mgonjwa hadi kuomba hela aibu.
Yote heri lakini
 
Pia naomba kuuliza humu kama kuna akaunti ya mdau ilibadilika kuwa SIPA lakini alipoangalia allocation akakutana na statement "No approved allocations available for....." halafu baadae akaja akakuta amefanyiwa allocation ya mkopo.

Kama mtu aliyekutana na situation hii yupo na baadae akafanikiwa anipe muongozo.
Weye tayari utapata!
Hongera sana,
Vuta subira kama walivyosema kabla ya tarehe 3
 
Yani Kuna muda unatamani kulia sema ndio utu uzima kujikaza, nyumbani umeacha mzazi mgonjwa hadi kuomba hela aibu.
Yote heri lakini
pole sana chief, ifeel ure pain. na hii ndio hali ya watanzania wengi tukiachana na mbwembwe za hapa Jf
 
Vipi ulifanikiwa mkuu? Namaanisha ilivyoandika No approved allocations ilikuja ikakuonesha amount ama hadi leo bila bila?

Maana ya kwangu ime change leo into SIPA lakini ukumbe unaokuja niki search ni kama kwako ulovyosema.
bado mkuu nasubiria
 
Back
Top Bottom