hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 470
- 328
Wait for final results ni machoooziHuyu afurahi kabisa,
Uhakika atapata
Wait for final results ni machoooziHuyu afurahi kabisa,
Uhakika atapata
Uyo kapata, click SIPA then allocation uweke mwaka 2023/2024 then search.na ambao imechange into sipa,ila haiwaoneshi loan mkuu, tatizo nn?
ngoja tuone chiefHuyu afurahi kabisa,
Uhakika atapata
mkuu inaandika no approved loan breakdown !!Uyo kapata, click SIPA then allocation uweke mwaka 2023/2024 then search.
tuwe na subra till november 3Wait for final results ni machooozi
Walio maliza form six tu na wamefaulu vizuri mwaka huu ni 200,000+ NACTE wametoa AVN number 150,000+ bado wa walio kuwa makazini achana na waliyo maliza form six na Diploma ndani ya miaka mitano iliyopita. Wote hawa wamejaribu bahati yao.Soo kweli kwamba eti wanafunzi wa first year pekee walioomba ni zaidi ya 250,000.
Idadi ya waombaji wa first year ni zaidi ya 100k na sio 250k kama unavyotaka kuaminisha watu humu.
Ndo maana bodi ikasema kati ya waombaji zaidi ya 100,000 wa mwaka wa kwanza degree wao wamelenga kuwafikia wanafunzi 75,000 kwa bajeti iliyopo.
Hiyo ya kusema degree mwaka wa kwanza pekee eti 250,000 umeitoa wapi?
Tayari hiyo ata nyingine ziliandika hivyo baada ya muda mchache allocation ikasoma.mkuu inaandika no approved loan breakdown !!
boss ni siku ya pili leo. imebaki hivyo hivyoTayari hiyo ata nyingine ziliandika hivyo baada ya muda mchache allocation ikasoma.
Account ikisoma SIPA wewe ni mnufaika tayari subiri system ichakate ione inakupa ngap.boss ni siku ya pili leo. imebaki hivyo hivyo
pamoja chiefAccount ikisoma SIPA wewe ni mnufaika tayari subiri system ichakate ione inakupa ngap.
Uliomba kwa kupitia Nelson Mandela au wewe ni tutorial assistant?.Majibu ya wanufaika ktk category ya Postgraduate yatatoka lini
Waliomaliza form six mwaka huu ni 100,000 tu sasa hiyo 200,000 umeitoa wapi?Walio maliza form six tu na wamefaulu vizuri mwaka huu ni 200,000+ NACTE wametoa AVN number 150,000+ bado wa walio kuwa makazini achana na waliyo maliza form six na Diploma ndani ya miaka mitano iliyopita. Wote hawa wamejaribu bahati yao.
Board imesema lengo lao kwa mwaka huu ni ku fund wanufaika wapya 75,000 hawa ni wa mwaka wa kwanza na wanaendelea ambao hawakuomba mkopo kabla.
Kwa alichoandika mdau uliyemjibu kama kaandika pasipo na uhakika si jambo zuri maana inakuwa ni upotoshaji kwa wengi.Soo kweli kwamba eti wanafunzi wa first year pekee walioomba ni zaidi ya 250,000.
Idadi ya waombaji wa first year ni zaidi ya 100k na sio 250k kama unavyotaka kuaminisha watu humu.
Ndo maana bodi ikasema kati ya waombaji zaidi ya 100,000 wa mwaka wa kwanza degree wao wamelenga kuwafikia wanafunzi 75,000 kwa bajeti iliyopo.
Hiyo ya kusema degree mwaka wa kwanza pekee eti 250,000 umeitoa wapi?
Huko kote sipoUliomba kwa kupitia Nelson Mandela au wewe ni tutorial assistant?.
Continous baada ya batch ya 3Hujaeleweka. Waliowekewa kuanzia juzi ni batch 2 na HESLB walitangaza kwenye official pages zao.
Batch 3 walisema itatoka kabla ya Novemba 3.
Baada ya batch 3 ndo wataanza ku deal na continueos.


Kama haupo uko sahau kuhusu mkopo hivi ndiyo vigezo vya postgraduateHuko kote sipo
4.4 ndio niko, ni mwajiriwa wa serikaliKama haupo uko sahau kuhusu mkopo hivi ndiyo vigezo vya postgraduate
Watu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisiPenologist unatoa taarifa ambazo hazina ukweli wowote kwamba mwaka wa masomo 2023/2024 Kuna waombaji jumla 250K huu ni uongo then bodi inavyofanya Kazi wengi hatujui zaidi ya kubashiri tu .
Mwaka Jana Kuna watu walipata mkopo mwezi wa kwanza na wengine mwezi wa pili hivyo tusipotoshe mtu Kama kaomba mkopo aendelee kufatilia kwa Ukaribu na kuomba msaada umu wapo wadau wanauelewa na hayo Mambo
Msipende Kukatisha watu tamaa kuwa PESA zimeisha ,mwaka Jana hela iliongezwa na ambao hawakupata wakapata na wengine waliongezewa ada ikawa 100%
Endelea kufatilia Hadi mwisho
