Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,770
- 11,227
Kuna mdau aliniambia kwamba huenda bado zoezi la allocation likaendelea leo kwahiyo kama akaunti yako bado inasoma wait for allocation process huenda leo ikabadilika kuwa SIPA na kupangiwa mkopo.
Good news ni kwamba kila aliyeomba na taarifa zake zikahakikiwa zipo sawa basi atapata mkopo kwasababu fedha mwaka huu imetengwa yakutosha hakuna atakayekosa.
Good news ni kwamba kila aliyeomba na taarifa zake zikahakikiwa zipo sawa basi atapata mkopo kwasababu fedha mwaka huu imetengwa yakutosha hakuna atakayekosa.