DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,641
- 81,545
MtapataWatu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisi![]()
MtapataWatu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisi![]()
Mkuu upo makini na una uelewa sana wa mambo mbalimbali huwa nafuatilia nyuzi na comments zako.Penologist unatoa taarifa ambazo hazina ukweli wowote kwamba mwaka wa masomo 2023/2024 Kuna waombaji jumla 250K huu ni uongo then bodi inavyofanya Kazi wengi hatujui zaidi ya kubashiri tu .
Mwaka Jana Kuna watu walipata mkopo mwezi wa kwanza na wengine mwezi wa pili hivyo tusipotoshe mtu Kama kaomba mkopo aendelee kufatilia kwa Ukaribu na kuomba msaada umu wapo wadau wanauelewa na hayo Mambo
Msipende Kukatisha watu tamaa kuwa PESA zimeisha ,mwaka Jana hela iliongezwa na ambao hawakupata wakapata na wengine waliongezewa ada ikawa 100%
Endelea kufatilia Hadi mwisho
Kuwa na imani tu mkuu hadi hapo maombi yake yanafanyiwa kazi.Accou ya dogo inasoma hivi.. karibia mwez na kitu sasa, kuna kitu kweli hapaView attachment 2798504View attachment 2798505
Mkuu nina imani kuu kwamba utapata kabla ya Novemba 3 kama walivyosema.Watu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisi![]()
Hapana mkuu. Walitoa official statement kupitia page zao za instagram na twitter kwamba baada ya kumaliza na first year wanaanza ku deal na continueos.Continous baada ya batch ya 3
So Continous wa appeal tu![]()
Mkopo ni privilege siyo haki kuwa ni lazima kila mmoja apate wanapata wachache, unavyosema January and February watu wanapangiwa mkopo ni chuo kipi linafunguliwa hiyo miezi? TCU wenyewe mwisho wa kupokea list ya wanafunzi walio sajiliwa ni December mwanzoni.Penologist unatoa taarifa ambazo hazina ukweli wowote kwamba mwaka wa masomo 2023/2024 Kuna waombaji jumla 250K huu ni uongo then bodi inavyofanya Kazi wengi hatujui zaidi ya kubashiri tu .
Mwaka Jana Kuna watu walipata mkopo mwezi wa kwanza na wengine mwezi wa pili hivyo tusipotoshe mtu Kama kaomba mkopo aendelee kufatilia kwa Ukaribu na kuomba msaada umu wapo wadau wanauelewa na hayo Mambo
Msipende Kukatisha watu tamaa kuwa PESA zimeisha ,mwaka Jana hela iliongezwa na ambao hawakupata wakapata na wengine waliongezewa ada ikawa 100%
Endelea kufatilia Hadi mwisho
Sawa ila fatilia kitu kabla haujaandika haujui jambo ni vizuri kukaa kimyaMkopo ni privilege siyo haki kuwa ni lazima kila mmoja apate wanapata wachache, unavyosema January and February watu wanapangiwa mkopo ni chuo kipi linafunguliwa hiyo miezi? TCU wenyewe mwisho wa kupokea list ya wanafunzi walio sajiliwa ni December mwanzoni.
Rai yangu ni kwamba watu wasijibweteke kusubiria mkopo, Kama mtu ana njia nyingine ya kwenda chuo atumie. Batch ya kwanza na ya pili zikipita hujapata mkopo unaasilimia 0.01 ya kupata mkopo. Tena kuappeal ndiyo usitegemee kabisa labda Kama una kigogo uko loan board.
Kuhusu kuongezewa asilimia za Tuition Fee ni kweli wengi wanao appeal wanaongezewa. Hii ni kutokana kuna pesa zinazo baki za wanafunzi walioshindwa ku report na continues walio Disco au kushindwa kuendelea na masomo.
Mkuu huyo jamaa Penologist anaongea vitu ambavyo havina uhakika wala source za kueleweka.Sawa ila fatilia kitu kabla haujaandika haujui jambo ni vizuri kukaa kimya
Wewe upo chuo? Au unafanya Kazi helsb ?
Chuoni watu huwa wanajiunga hadi mwezi wa kwanza unalijua Hilo?
Mwaka Jana umefatilia mkopo ulitolewa Hadi mwezi gani ?
Kuna Uzi upo unaonesha wanafunzi wa udsm ,udom wanaidai Ada zao refund je unajua kwanini wanadai Ada zao jibu ni kuwa walilipa Ada then bodi mwezi wa 1-2-3 waliwaongezea Ada na kuwapa wanafunzi wengine wapya mkopo .
Mwanafunzi anayeingia chuo kikuu anakuwa chin ya nacte na Tcu na anapofika mwaka wa mwisho na anakuwa chini ya Tcu ramsi na endapo mwanafunzi akaishia mwaka wa pili anaweza kupewa Diploma kutoka Nacte unanjua kuhusu hili?
Mungu atusaidie maana haya mateso ugenini ni aibuMkuu nina imani kuu kwamba utapata kabla ya Novemba 3 kama walivyosema.
Huwa serikali inaendelea kutafuta vyanzo vingine vya fedha ili kuhakikisha wanafunzi wanapata mkopo ili watimize ndoto zao za masomo.
Ndo maana unaona leo utakuta mwanafunzi amepangiwa ada let say 250,000 out of 1,650,000 lakini baada ya muda akiwa masomoni anakuta ada imekuwa allocated kwa 100%.
Yaani acha tu ndugu yangu,tunaingia darasani lakn akili hazipo darasani maana hata usajili sijafanya sioni mwanga wa kutoka pasipo mkopoWatu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisi![]()
MUNGU akufanyie wepesiYaani acha tu ndugu yangu,tunaingia darasani lakn akili hazipo darasani maana hata usajili sijafanya sioni mwanga wa kutoka pasipo mkopo
Hongereni kwa kazi wenzangu, ninaomba msaada namba ya simu ya Loan board ambayo hasa inapatikana Watsapp, kama haiko watsapp basi ninaomba yoyote ile
Chat nao muda wa kazi.Hawajibu whatsapp sms hawa
View attachment 2798544Hiyo apo ni Almanac ya TCU mwisho wa kuwasilisha enrollment ya wanafunzi wapya unaona ni tar ngap?.
Vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU hapa namaanisha full fledged Universities, na Vyuo vya kati vipo chini ya NACTE. Ikiwa na maana baadhi ya vyuo vya kati vilivyo ruhusiwa kitoa shahada ya kwanza NTA level 8 automatically vinafwata calendar ya TCU na kuwa under supervision of TCU kwenye programme za Bachelor degree na Postgraduate Diploma au Masters. The same kwa vyuo vikuu vilivyo pewa ruhusa ya kutoa Diploma na certificate yaani NTA level 6 kushuka chini, izo programme zinakuwa monitored na NACTE.
Kwaiyo basi kwa calendar ya TCU hakuna nwanafunzi wa mwaka wa kwanza atakaye sajiliwa baada ya December na kwa miaka ilikuwa hivyo pia.
Mambo ya kwamba nwanafunzi wa degree akifeli akiwa mwaka wa pili anapewa diploma hicho kitu akipo University bro ni story za kwenye vijiwe vya kahawa. Ukweli ni kwamba kwenye vyuo vya kati vilivyo ruhusiwa kutoa Bachelor degree wameigawanya kwenye category mbili NTA level 7 na NTA level 8. Hiyo NTA level 7 ndiyo ilikuwa High Diploma au Advance Diploma lakini ulikuwa unaisoma kwa miaka mitatu. Sasa kwa vyuo vya kati ipo ndani ya bachelor degree ndiyo maana wanafunzi wa hivyo vyuo wakiwa mwaka wa kwanza na wa pili wanatambulika kama High Diploma students then mwaka wa tatu wanakuwa Bachelor degree student. Ila haimaanishi waki Disco wanapewa Diploma. Kwanza Diploma ni level nyingine ya chini kidogo ya undergraduate NTA level 6 hii ina mitiani yake na mafunzo yake.
Wanafunzi wote wa shahada ya kwanza na kuendelea wanakua chini ya TCU hivyo ukidisco ata Kama ni mwaka wa tatu au wa nne kwa wanafunzi wa engineering na law au mwaka wa tano kwa wanafunzi wa MD NACTE hawawezi kuingilia kati kukupa Diploma.
Yes jamaa Anaonekana Hana ufahamu na mambo ya TCU Wala Helsb anababisha hajui kuwa mwaka Jana serikali iliongeza PESA kwa lengo lakuwapatia wanafunzi mikopo ya Elimu ya juu.Mkuu huyo jamaa Penologist anaongea vitu ambavyo havina uhakika wala source za kueleweka.
Imagine kama amekomaa kwamba idadi ya waliomaliza form six mwaka huu pekee ni zaidi ya 200,000 kitu ambacho ni uongo sasa tutamuamini kwenye lipi tena?
Kuna marafiki zangu wa Mzumbe mwaka jana walikuwa first year hawakupata batch zote lakini mwezi wa 12 aliingia kwenye akaunti yake akakuta amekuwa allocated ada 500,000 out of 1,600,000 kama sikosei na wakati huo alikuwa ameshalipa ada kwa mbinde sana.
Ndo hizo refund huwa wanadai kama ulivyosema.
Kitu asichokijua huyo jamaa ni kwamba serikali huwa inaendelea kutafuta vyanzo vingine vya mapato ili kuwapunguzia mzigo wanafunzi wa elimu ya juu.
Ndiyo maana kadri fedha inavyopatikana ndivyo wanavyoendelea kuwapangia ili mradi uli submit application zako na vigezo unavyo.