thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,408
- 3,633
Ni kwa waliokuwa wamekoswa hadi MA,Mbona hatuzioni hizo allocations???
Ni kwa waliokuwa wamekoswa hadi MA,Mbona hatuzioni hizo allocations???
Elfu mbili na bado dogo hajapata!Wanafunzi 2,177 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 7.26 bilioni baada ya kuwasilisha maombi ya rufaa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kujaza taarifa na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uhitaji wao.
Tembelea SIPA kupara taarifa zaidi.
#WeweNdoFuture
#TimizaWajibu
Pole sana mkuuElfu mbili na bado dogo hajapata!
Kweli hana bahati
Inasikitisha ata Mimi dogo hajapata wamemuandikia waiting for the final result.Elfu mbili na bado dogo hajapata!
Kweli hana bahati
Final result?😳😳😳Inasikitisha ata Mimi dogo hajapata wamemuandikia waiting for the final result.
Ni changamoto sanaFinal result?
Hawa kweli wanacheza na watoto!
Ndio maana wanang'ang'ania kila mwanafunzi aangalie kwenye SIPA akaunti yake.
Hii inafikirisha kama kweli waombaji wanapewa mkopo!
Poleni sana pesa imeenda upande wa pili.
Pana usiri hapo.Ni changamoto sana
Sio lazimaNina swali.
Mtu kwao ni iringa na kwenye fomu ya mkopo amejaza hivyo lakini chuo ni morogoro.
Je Ni lazima mwenyekiti wa mtaa na mjumbe awe wa iringa kule aliikotokea?
Kwahyo anaweza kwenda kwa mwenyekiti dar asaini tu?Sio lazima
Ndio cos kuna mtu kwao ni Arusha chuo dar amesaini dar naamepata mkopoKwahyo anaweza kwenda kwa mwenyekiti dar asaini tu?