AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,666
- 2,840
Unataka kusema Nini !?Kwetu wazazi iwe funzo tuache kunywa pombe za machicha kwenye vilabu vya Kijiji tufanye kazi
Unataka kusema Nini !?Kwetu wazazi iwe funzo tuache kunywa pombe za machicha kwenye vilabu vya Kijiji tufanye kazi
sasa tuanze kurudisha hela za watufull bataa, kuku wanaona wivuu.
cocastic njoo umsikie huku😅😅sasa tuanze kurudisha hela za watu
Akuna mtu account yake imeonesha mabadiriko
Kivumbi leoo
We acha tu mm yng bdo ipo " wait for allocation process" ni pressure tu hpAkuna mtu account yake imeonesha mabadiriko

Me toooWe acha tu mm yng bdo ipo " wait for allocation process" ni pressure tu hp![]()

Kwakweli hi "wait for allocation process" nahisi nimechoka Kuwait bora before ulikua unapewa tarehe atleast ilikua inaleta relief kidgWe acha tu mm yng bdo ipo " wait for allocation process" ni pressure tu hp![]()
nami nasubiri hii update ndipo niingie nami kuangaliaAkuna mtu account yake imeonesha mabadiriko
kabisa siku za nyuma ilikuwa unapewa tarehe ila hii hongera subiri allocation process inakatisha tamaaKwakweli hi "wait for allocation process" nahisi nimechoka Kuwait bora before ulikua unapewa tarehe atleast ilikua inaleta relief kidg
Mi hadi naota hao loan BoardUsingizi ushakata
Mi hadi naota hao loan Board

Mimi ni kuingia jf na chrome kila dakikaMi hadi naota hao loan Board
Sasa ndugu yng humu JF ndio kwenye SIPA account yko kweli?Mimi ni kuingia jf na chrome kila dakika

Si watupe tuuuuSasa ndugu yng humu JF ndio kwenye SIPA account yko kweli?
Mm kila baada ya dak 15 nazama mule nakutana na "wait for allocation process "
Ya ndo Leo adi kufika saa Saba wanaachiawakuu leo s ndo 27 eeh
Mm ht sielew naona chenga tu, week ya kwanza hii imekata sijaattend chuon bdo kisa HESLBSi watupe tuuuu