Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,600
- 4,737
It is not over until it is over 🙆dont ever give up bro
It is not over until it is over 🙆dont ever give up bro
Batch 2 soma screen shot ya apo juuBado bana
Bdo kiongozkwani leo wamefanya press release yoyote, ama post yoyote huko instagram kuhusu mkopo?
Ambao hawajawahi pitia hii moment hawawezi elewa feeling yake kwakweli,
tushakosha Alhamdullilah tusubiri tuone maisha yanaendajeBora waandike hawajatupa.Haya maandishi kwakweli mm nshayachoka wakuu, nayafuteje ili nisiyaone tenaView attachment 2794745
Kwamba majibu yameshatoka au sijakuelewa kijanatushakosha Alhamdullilah tusubiri tuone maisha yanaendaje
Watu naona account zao zimesoma Mimi niko tuKwamba majibu yameshatoka au sijakuelewa kijana
Alikamilisha process zote lini Mara ya mwisho
Watu naona account zao zimesoma Mimi niko tu
naskia batch zpo mpk 8 huko msikate tamaa, hii ndio kwnz ya pili vijana safar ni ndefu kweliSwali zur ht mm Nina swali la namna hii, ndio maana nkauliza hv kuwahi kutuma maombi ya mkopo ndio inakupa nafac ya kuwahi kujibiwa au lah?Alikamilisha process zote lini Mara ya mwisho
Mmh chuo hawaelewi wataka pesa zaonaskia batch zpo mpk 8 huko msikate tamaa, hii ndio kwnz ya pili vijana safar ni ndefu kweli
Mie nmewahi sana kumaliza lkn dohSwali zur ht mm Nina swali la namna hii, ndio maana nkauliza hv kuwahi kutuma maombi ya mkopo ndio inakupa nafac ya kuwahi kujibiwa au lah?
Hapana mdogo angu.Swali zur ht mm Nina swali la namna hii, ndio maana nkauliza hv kuwahi kutuma maombi ya mkopo ndio inakupa nafac ya kuwahi kujibiwa au lah?
Sababu za kuwahi na kuchelewa ni zipi?
Mie nadhani siamki hadi kesho.Natamani nilie nicheke