Soma kulia hapo uone my dearIlisemwa on..na sio before broView attachment 2801044View attachment 2801044
Upo sahihi mkuu walisema kabla ya Oktoba 27.Soma kulia hapo uone my dear View attachment 2801149
Logically,ile statement true kwa kuwa walistick kweny hiyo tareh and not otherwise..Alf ukizingatia Ni official website ya heslb😃Soma kulia hapo uone my dear View attachment 2801149
Mkuu leo ama kesho akaunti yako nina imani itasoma SIPA na allocation utaikita muda huo huo.Mimi ni wait for final results
Fact..Ni swala la kuwa na subira...kam Mim nikifikiria hiyo MD gharama kubwa alfu mpaka sasa holaa..nabaki kumwachia Mungu tyu😔Mkuu leo ama kesho akaunti yako nina imani itasoma SIPA na allocation utaikita muda huo huo.
Kuna mdau humu ile batch 2 akaunti yake asubuhi ilisoma wait for final results halafu baada ya muda mfupi alivyo login akakuta imebadilika kuwa SIPA na hapo hapo akakuta allocations.
Kuwa na imani najua ndicho kinachoenda kutokea hata kwako.
Amen mnanipa moyo sana.Mkuu leo ama kesho akaunti yako nina imani itasoma SIPA na allocation utaikita muda huo huo.
Kuna mdau humu ile batch 2 akaunti yake asubuhi ilisoma wait for final results halafu baada ya muda mfupi alivyo login akakuta imebadilika kuwa SIPA na hapo hapo akakuta allocations.
Kuwa na imani najua ndicho kinachoenda kutokea hata kwako.
Nakutakia heri na weweFact..Ni swala la kuwa na subira...kam Mim nikifikiria hiyo MD gharama kubwa alfu mpaka sasa holaa..nabaki kumwachia Mungu tyu![]()
Kabisa mkuu tuwe na subira kufikia kesho mambo yatakuwa fresh naamini.Fact..Ni swala la kuwa na subira...kam Mim nikifikiria hiyo MD gharama kubwa alfu mpaka sasa holaa..nabaki kumwachia Mungu tyu![]()
Kwanini usiende uanze registration?Amen mnanipa moyo sana.
Chuo nimeshindwa kwenda hata
registration ni rahisi mkuu?Kwanini usiende uanze registration?
Mengine yatajulikana huko huko
Nilianza jana nikafikia nusuKwanini usiende uanze registration?
Mengine yatajulikana huko huko
Wanaweza kuanza kuachia leo hadi kufikia kesho wawe wamekamilisha.wakitoa,leteni updates hapa .
Tutapeana updates humu mkuu.Mkipata majibu msikae kimya
HakikaTutapeana updates humu mkuu.
Yeyote atakayeona kuna mabadiliko yoyote kwenye akaunti yake asisite kutuhabarisha kama ilivyo ada.
ngoja nikacheki chiefChungulieni Account zenu Mambo tayari wale mlio kuwa mnaona SIPA lakini no approved allocation. Allocation tayari.
Chungulieni Account zenu Mambo tayari wale mlio kuwa mnaona SIPA lakini no approved allocation. Allocation ttaya
Wait for final result..Hawa nao vipiChungulieni Account zenu Mambo tayari wale mlio kuwa mnaona SIPA lakini no approved allocation. Allocation tayari.