HESLB: Batch One Out Now

HESLB: Batch One Out Now

Yani Kuna muda unatamani kulia sema ndio utu uzima kujikaza, nyumbani umeacha mzazi mgonjwa hadi kuomba hela aibu.
Yote heri lakini
Usikate tamaa mkuu. Najua situation unayopitia ndugu yangu maana hali za watanzania wengi ni za chini kwahiyo bila support ya mkopo kwakweli kuendelea na masomo ni mtihani mgumu.

Naamini Mungu atakuona na atajibu maombi yako kikamilifu ili utimize ndoto zako Amiin.
 
Weye tayari utapata!
Hongera sana,
Vuta subira kama walivyosema kabla ya tarehe 3
Shida mkuu kuna mtu aliandikiwa hivi kisha akapangiwa mkopo?

Na je, kwa aliyekosa ina maana akaunti yake haibadiliki kuwa SIPA?
 
Usikate tamaa mkuu. Najua situation unayopitia ndugu yangu maana hali za watanzania wengi ni za chini kwahiyo bila support ya mkopo kwakweli kuendelea na masomo ni mtihani mgumu.

Naamini Mungu atakuona na atajibu maombi yako kikamilifu ili utimize ndoto zako Amiin.
Amiin
 
Pia naomba kuuliza humu kama kuna akaunti ya mdau ilibadilika kuwa SIPA lakini alipoangalia allocation akakutana na statement "No approved allocations available for....." halafu baadae akaja akakuta amefanyiwa allocation ya mkopo.

Kama mtu aliyekutana na situation hii yupo na baadae akafanikiwa anipe muongozo.
Account zote ndiyo zinavyo kuwa mara ya kwanza tokea batch 1, baada ya muda itabadilika na kuonyesha allocation.
 
Kuna matumaini kweli kwenye hii sentesi "wait for final results"
 
Attachments

  • Screenshot_20231102-000819_Chrome.jpg
    Screenshot_20231102-000819_Chrome.jpg
    30 KB · Views: 22
Back
Top Bottom