Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 2,705
- 4,425
Bonyeza menu iko upande wa kushoto juu kabisaIli uone kama umepata au lah ukisha log in unaenda wapi? Mdogo wangu hajui chochote
Itakuletea options nyingi halafu chagua SIPA
kisha chagua allocation
Nenda kachague mwaka ambao utakuwa ni 2023/2024 kisha search uone