Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

THE TURTLE THEORY:
Slow is smooth. Smooth is fast.
The turtle wins because it moves consistently, protects its energy, and never quits. No rush. No panic. No burnout. Just steady progress, every single day.

💎 Rule: Speed impresses people. Consistency changes lives.
 
Hii Dunia usipokua makini unaweza kujikuta muda wako wote uliyouishi hapa Duniani uliutumia kwa kukimbizana na hela tu na kusahau kabisa kuishi!

Hela zitafutwe ila usisahau "Kuishi" utafutaji wa hela hua hauna mwisho ila maisha yana mwisho.
Mkuu utaishije wakati watu wamekuambia hela hamna??
Nyie motivesheni spika bhana !!
 
Mkuu utaishije wakati watu wamekuambia hela hamna??
Nyie motivesheni spika bhana !!
Hela ipo tena ni nyingi sanaaaaa.

Hayo majumba, magari yooote unayoyaona hapo ulipo ni hela iliwezesha katika moja na mbili

Hela sio kitu halisi, ni karatasi tu, ila ni nyenzo(means) katika kufanya mabadilishano ya huduma etc.

Hivyo basi jitahidi uwe na huduma nzuri, inayosolve mahitaji ya watu hasa ya kila siku, ni lazima utaletewa hela.

Ikija Ichukue kisha na wewe uitume kazi, usiweke kwenye kibubu kwa sababu utakua hujaweka uthamani wowote bali umeweka njia(means) ya uthamani.

Ndio maana watu wanasemaga mtu alieajiriwa ni ngumu kutajirika kwa sababu anatoa nguvu na muda wake ili apewe means ya thamani na sio thamani halisi.

Ingekua poa kama mtu angekua anaajiriwa sehemu kwa makubaliano labda mwisho wa mwezi anapewa shamba au kiwanja ingekua na maana zaidi
 
Mkuu utaishije wakati watu wamekuambia hela hamna??
Nyie motivesheni spika bhana !!
Nani amekwambia kua mimi ni motivation speaker?

Najua kua comment yangu haiwezi kueleweka na kila mtu,comment yangu sio sheria,hakuna mtu aliyekulazimisha wewe kufuata nilichokiandika,

Unaposema "hakuna hela" unakua una maanisha hela kiasi gani? Mtu mwenye njaa hawezi kuna ndani ya JF anasoma nyuzi na kucomment kwa kutumia Smart phone yake.
 
Hela ipo tena ni nyingi sanaaaaa.

Hayo majumba, magari yooote unayoyaona hapo ulipo ni hela iliwezesha katika moja na mbili

Hela sio kitu halisi, ni karatasi tu, ila ni nyenzo katika kufanya mabadilishano ya huduma.

Hivyo basi jitahidi uwe na huduma nzuri, inayosolve mahitaji ya watu hasa ya kila siku, ni lazima utaletewa hela.

Ikija Ichukue kisha na wewe uitume kazi, usiweke kwenye kibubu kwa sababu utakua hujaweka uthamani wowote bali umeweka njia(means) ya uthamani
Mtu anayetaka kupewa pesa huwa akili haifanyi kazi kwenye mashauri mengi, focus ipo kwenye intangible asset..
 
Mambo ya hela Yana tabu...Tusisahau kujenga network yenye Faida, kama umezungukwa na wale wazee wa "bosi vipi Leo wapi" au "bosi kuna chimbo nimelipata Lina mambo mazuri" au bosi nipitie na gari yako Leo tukapge vitu" mmmh pole Sana...Mambo ya Kila siku tunakusikilizia wewe bosi hayafai...Cha mwisho kama Una roho ndogo Bora uishie kupata hela zako za Kula na kustaafu Tu.
 
Hela ipo tena ni nyingi sanaaaaa.

Hayo majumba, magari yooote unayoyaona hapo ulipo ni hela iliwezesha katika moja na mbili

Hela sio kitu halisi, ni karatasi tu, ila ni nyenzo(means) katika kufanya mabadilishano ya huduma etc.

Hivyo basi jitahidi uwe na huduma nzuri, inayosolve mahitaji ya watu hasa ya kila siku, ni lazima utaletewa hela.

Ikija Ichukue kisha na wewe uitume kazi, usiweke kwenye kibubu kwa sababu utakua hujaweka uthamani wowote bali umeweka njia(means) ya uthamani.

Ndio maana watu wanasemaga mtu alieajiriwa ni ngumu kutajirika kwa sababu anatoa nguvu na muda wake ili apewe means ya thamani na sio thamani halisi.

Ingekua poa kama mtu angekua anaajiriwa sehemu kwa makubaliano labda mwisho wa mwezi anapewa shamba au kiwanja ingekua na maana zaidi
Umeandika takataka za motiveshinal spikas
 
Kuna wimbo mmoja umeimbwa na Ras Karbi unaitwa "Jah Rastaman"

Kuna mstari mmoja unasema,
"The money we work is never enough, the little we get, they wanna take it away"

Pesa haijai. Hata uitafute kwa nguvu zote, Ukiipata bado utaona haitoshi.

Utajiri wa Elon Musk umefika dola za kimarekani Billion 852. Ila jamaa bado ana hustle.

Anaona bado hazitoshi.

View: https://youtu.be/h29_oCR6bTs?si=kUgocIDER54ho7xY
 
Money is numbers and numbers never end,
If it takes money to be happy, your search for happiness will never end.
Bob Marley.
 
Elon musk anasema
Whoever said “money can’t buy happiness” really knew what they were talking about 😔

Japo unaweza ichukulia kama meme💯
 
Attachments

  • IMG_6726.jpeg
    IMG_6726.jpeg
    62.6 KB · Views: 10
Back
Top Bottom