Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,756
Reaction score
60,519
leo nimeamua kuwapa pole ndugu zangu wote ambao mpaka leo hela imewakataa Pole sana ndugu zangu… najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3
kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily, tunachezea hela kamari… halafu tunalala kwa amani. yaani nina mwaka sijanywa vinyau sijui konyago sijui pombe fake fake hahah

Wewe unapata hela leo, unaanza kuhesabu Kodi… chakula… umeme… ada… deni…
Kabla hujamaliza kuhesabu, hela yenyewe imeshafariki.dah me vyote hivyo nishavisahau

Lakini pole sana. Hata sisi wenye hela tunawaelewa tushapitia hayo maisha

Na msijali, sio kila mtu ameumbwa kuwa na hela nyingi. Wengine Mungu aliwapa kipaji cha kuomba bro nipe hata 10k, kesho narudisha. mtu akiniambia hana hela namwambia Pole sana mkuu, ni suala la muda tu.Lakini ndani ya moyo najua hiyo “muda” imeanza 2017.

ila jamani msiokuwa na zali na hela mpunguze majukumu watoto wawili tu wanatosha.una nuksi na hela unazaa watoto wa5 wanini

Mama Samia, Nchimbi na wengine waendelee na majukumu yao huko. Sisi huku tunahangaika na hela zetu za kula, kunywa na kuchezea. nina zaidi ya miezi mitatu account haijashuka chini ya million 5 hadi nacheza golf siku hizi aisee

Kwa hiyo ndugu zangu msio na hela narudia tena kuwapa pole Mungu awafungulie milango ya riziki, maana kwa baadhi yenu mlango umefunguliwa mara tatu lakini mko busy mnaangalia dirishani.natamani kuwaonyesha miamala yangu na gari nayotumia kwa sasa ila basi tu ukweli mnaujua nikisema hela zimenikubali huu mwaka ni kweli zimenikubali ila pia shukrani kwa 1xbet umeninulia pair 6 za viatu jumla million moja umeninulia iphone 17 mpyaa aisee niseme nini siwezi kueleza baba ninakushukuru
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda zako hazielezeki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Niseme nini? Siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Umefanya mengi, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Baraka zako hazihesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Bali ninakushukuru
Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamin

View: https://youtu.be/epc06JASVu0?si=ADbdaCojPjygmOY-
 
Sio kwa ufundi wako ni majaaliwa tu...
Kama kusoma wote tumesoma na kuhusu kufanya kazi kwa bidii basi hapa hakuna mzembe lakin tunakula chai ya 500 na chapati za 1000...

Ila alhamdulillah wife anapendeza,watoto wanasoma,ki crown changu kimeua starter sina hela ya service na vimpunga vipo store,tunaishi...
 
kweli mkuu sio kwa ujanja wangu
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.11 (3).jpeg
    WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.11 (3).jpeg
    112.6 KB · Views: 9
  • WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.11 (2).jpeg
    WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.11 (2).jpeg
    104.8 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.12 (2).jpeg
    WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.12 (2).jpeg
    110.9 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.12 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2026-08-18 at 10.33.12 (1).jpeg
    105.4 KB · Views: 4
Kama unajihusisha na betting ni swala la muda tu utarudi juu ya mawe .
mkuu betting nimeanza toka 2013 huko najua ishanila hela za kutosha ila nilikuwa nabet kijinga siku hizi nacheza double chance corners hio ni sure bet stake bwanga odds modo nampiga sana kanji halafu hata nikiliwa bado kila mwezi ninaingiza million 5 kama kipato changu nje ya betting so itakuwa ni ajali tu ila bado naogelea kwenye utajiri
 
leo nimeamua kuwapa pole ndugu zangu wote ambao mpaka leo hela imewakataa Pole sana ndugu zangu… najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3
kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily, tunachezea hela kamari… halafu tunalala kwa amani. yaani nina mwaka sijanywa vinyau sijui konyago sijui pombe fake fake hahah

Wewe unapata hela leo, unaanza kuhesabu Kodi… chakula… umeme… ada… deni…
Kabla hujamaliza kuhesabu, hela yenyewe imeshafariki.dah me vyote hivyo nishavisahau

Lakini pole sana. Hata sisi wenye hela tunawaelewa tushapitia hayo maisha

Na msijali, sio kila mtu ameumbwa kuwa na hela nyingi. Wengine Mungu aliwapa kipaji cha kuomba bro nipe hata 10k, kesho narudisha. mtu akiniambia hana hela namwambia Pole sana mkuu, ni suala la muda tu.Lakini ndani ya moyo najua hiyo “muda” imeanza 2017.

ila jamani msiokuwa na zali na hela mpunguze majukumu watoto wawili tu wanatosha.una nuksi na hela unazaa watoto wa5 wanini

Mama Samia, Nchimbi na wengine waendelee na majukumu yao huko. Sisi huku tunahangaika na hela zetu za kula, kunywa na kuchezea. nina zaidi ya miezi mitatu account haijashuka chini ya million 5 hadi nacheza golf siku hizi aisee

Kwa hiyo ndugu zangu msio na hela narudia tena kuwapa pole Mungu awafungulie milango ya riziki, maana kwa baadhi yenu mlango umefunguliwa mara tatu lakini mko busy mnaangalia dirishani.natamani kuwaonyesha miamala yangu na gari nayotumia kwa sasa ila basi tu ukweli mnaujua nikisema hela zimenikubali huu mwaka ni kweli zimenikubali ila pia shukrani kwa 1xbet umeninulia pair 6 za viatu jumla million moja umeninulia iphone 17 mpyaa aisee niseme nini siwezi kueleza baba ninakushukuru
Uliyoyatenda kwangu ni mengi
Shuhuda zako hazielezeki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Niseme nini? Siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Umefanya mengi, siwezi kueleza
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Nikulipe nini, kwa yote umetenda?
Baba ninakushukuru
Baraka zako hazihesabiki
Wema wako hauzoeleki
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Bali ninakushukuru
Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Umenipa jina, Baba ninakushukuru
Umefanya hili, umefanya lile
Utafanya na lile, Bado ninakuamin

View: https://youtu.be/epc06JASVu0?si=ADbdaCojPjygmOY-

😄 Akaunti zenyewe hatuna zilishafungwa muda maana ziko empty kwa muda mrefu😄😄
Asante sana mkuu bado tuna tumaini kwamba ipo siku angalau akaunti zetu zitasoma tena hata laki 2 tu
 
Hivi milioni tano kwenye account ndo inakuzuzua hadi uanze kucheza na gofu, ingekuwa milioni 200 ungetamani usikanyage hata ardhi.
Huyo wa 200 M nae kuna watu wana Billions wanamuona si chochote.

Inategemea na malengo ya mtu, mwingine akiwa na uhakika wa milo mitatu, haumwambii kitu.

Mwingine akiwa na salio la 1M anaweza kukutukana kwa kupita karibu yake. Na kuna yule ana 500M na bado haoni kama amefika popote.

Ilimradi haibii mtu , sioni shida akila maisha kwa hiyo hiyo 5M badala ya kusubiria hadi apate 200M. Ikifika huko tutaona atakachokifanya, kwa sasa, tutulie hapo kwenye golf kwanza.
 
Nakumbuka kipindi kile unalalamika hauna ajira maisha magumu, ukawa unasema umeamua kua mlevi wa pombe yoyote.

Ukaja kutangaza umepata kazi kama nina kumbukumbu nzuri ilikua kama unashukuru Mungu.

Ukaja kulalamika juu ya mazingira .

Ukapotea.

Kisha ukarudi kulalamika juu ya seniors wanaotaka kila safari kwenda wao.

Leo umekuja na huu uzi.

Haya ni maendeleo.
 
Back
Top Bottom