Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Pole mkuu,usipate depresheni ngoma ngumu almost kwa kila mtu 😅
Huu msemo wa ngoma ngumu kwa kila mtu huwa naupinga sana hasa pale ninapopitia msoto.

Ngoma ngumu kwa kila mtu ni kudanganywa ,kufanywa mwehu na kupumbazwa kihisia tu .

Nikiwa napitia msoto , mtu akiniambia ngoma ngumu kwa kila mtu , namwona ni mfitini , mnafki , mpumbazaji , mbabaishaji , hana msaada , mchoyo na ni adui namba moja😁😁😁
 
Ni kweli kwamba mtu akipitiq machungu na changamoto ngumu anamuona kila mtu snitch, mbaya, mfitini, ana roho mbaya nk.

Ila kiukweli kila mtu anapitia challenges, nadhani hata wenye pesa zao wana kitu wanapitia at some point.

Hivi kuna furaha ya kudumu kweli??
 
Msemo wa kila mtu anapitia hali ngumu kipesa sio msemo wa kweli ni kujifariji tu kihisia
 
Ni kweli kwamba mtu akipitiq machungu na changamoto ngumu anamuona kila mtu snitch, mbaya, mfitini, ana roho mbaya nk.

Ila kiukweli kila mtu anapitia challenges, nadhani hata wenye pesa zao wana kitu wanapitia at some point.

Hivi kuna furaha ya kudumu kweli??
Hapa nimelenga kipesa kama mada ya hela inavyosema
 
Huu msemo wa ngoma ngumu kwa kila mtu huwa naupinga sana hasa pale ninapopitia msoto.

Ngoma ngumu kwa kila mtu ni kudanganywa ,kufanywa mwehu na kupumbazwa kihisia tu .

Nikiwa napitia msoto , mtu akiniambia ngoma ngumu kwa kila mtu , namwona ni mfitini , mnafki , mpumbazaji , mbabaishaji , hana msaada , mchoyo na ni adui namba moja😁😁😁
Mkuu nimesema ALMOST kwa kila mtu ngoma ngumu sio wote 😅
 
Ni kweli kwamba mtu akipitiq machungu na changamoto ngumu anamuona kila mtu snitch, mbaya, mfitini, ana roho mbaya nk.

Ila kiukweli kila mtu anapitia challenges, nadhani hata wenye pesa zao wana kitu wanapitia at some point.

Hivi kuna furaha ya kudumu kweli??
Nilishawahi kujiuliza hili swali mkuu, yaani ni kama tumezaliwa kutatua changamoto hadi tunakufa 😂
 
Inaweza isiwe kila mtu, ila generally watu wanapitia magumu.
Inaweza kuwa kweli ila hako kamsemo kisaikolojia ni kakujifariji tu ili mtu emotions ziwe kawaida tu , ila ukweli wa mambo mimi sina pesa ila kuna watu wanapesa mpaka hawajui wazifanyie nini😆
 
Mkuu nimesema ALMOST kwa kila mtu ngoma ngumu sio wote 😅
Haka kamsemo ni kamatumaini mkuu, ila ukweli wa mambo leo naenda kulala njaa hata kama wewe umesema hivyo😅😅
 
Na pesa haijawahi kutosha hivi kuna mtu alishafikia akasema hizi nilizopata zinanitosha akatelax tu 💁🏼‍♀️
Pesa haijawahi kumtosha mtu, JMK angetulia zake msoga kama ingekuwa imemtosha. Ni kupambana hadi pumzi ya mwisho kuitafuta na kuhakikisha iliyopo haipungui.
 
Mkuu nimesema ALMOST kwa kila mtu ngoma ngumu sio wote 😅
Mimi ni mbunge wa kwimba , nafika jimboni kwangu , anasimama mtu mmoja anadai "jimbo letu hatuna maji safi na salama"

Mimi kama mbunge nanyanyuka huko nasema Msipate depression ngoma ni ngumu Almost kwa kila mtu 😁😁

Wewe kama mwananchi utamfikiria vipi ndugu mbuge?
 
Pesa haijawahi kumtosha mtu, JMK angetulia zake msoga kama ingekuwa imemtosha. Ni kupambana hadi pumzi ya mwisho kuitafuta na kuhakikisha iliyopo haipungui.
😃😃 pesa huwa zinatosha ila akili ya matamanio yetu ndio huwa mara zote haitoshi bwashee
 
Back
Top Bottom