ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,309
- 129,792
Umetoa mfano wa wabunge, hawa jamaa wana stress sana sema tu hatujui. Wana madeni lukuki hasa ya mikopo mikubwa, wanapambana sana kubaki bungeni ili mambo yasiharibike. Wengi wakiwekwa bench tu hali inakuwa mbaya hapo hapo.Mimi ni mbunge wa kwimba , nafika jimboni kwangu , anasimama mtu mmoja anadai "jimbo letu hatuna maji safi na salama"
Mimi kama mbunge nanyanyuka huko nasema Msipate depression ngoma ni ngumu Almost kwa kila mtu 😁😁
Wewe kama mwananchi utamfikiria vipi ndugu mbuge?