Haya tena wale munoa penda kufanya kazi za ulaya angalieni hiyo video madhara yake

Kutafuta pesa haijawahi kuwa kazi rahisi...
Sana Chief! Kwanza namsifu huyo dada ni mvumilivu; anafanya kazi halali (sio haramu kama zile za ngada au ukahaba); na kama ulivosema, kutafuta hela sio mchezo; uvumilivu mwingi unahitajika ukizingatia nature ya kazi yake ni huduma kwa wazee na wenye upungufu wa akili kama hicho kibibi.
 
Kwako Mwarabu ni mungu. Sina muda wa kujibizana na wewe. Stupid.

Mwisho wa siku unavuruga mada ya watu.

Mimi ni muumini wa utu, ninyi hizo dini zenu zimewavuruga kabisa akili.
Kuna sehemu nimesema Mwarabu ni Mungu?
Naona dawa imeanza kukuingia taratibu mpaka umeanza kutema povu hovyo baada yakukosa hoja,

Tulia hivyo hivyo nikubadilishie dozi utapona tu.
 
Huyu mzito, Tena amevaa gloves kabisa? Unakanyonga tu then leave no fingerprints unakuja kusema kalianguka kenyewe. Ikishindikana unakalamba kipimo kipya Cha Covid-19
 
Ningemzbua hilo kofi hadi akili zingemkaa sawa wapo wazee wanazeeka na hekima zao mpka wanalala mauti
 
Sana Chief! Kwanza namsifu huyo dada ni mvumilivu; anafanya kazi halali (sio haramu kama zile za ngada au ukahaba); na kama ulivosema, kutafuta hela sio mchezo; uvumilivu mwingi unahitajika ukizingatia nature ya kazi yake ni huduma kwa wazee na wenye upungufu wa akili kama hicho kibibi.
Kwa vile huyo Dada ananyanyasika huko kwa wazungu unalembesha na muandiko wako na kumsifu mvumilivu,na umeshajua kua sijui kibibi kina upungufu wa akili ila huyo Dada ingekua ananyanyasika kwa Waarabu basi sasa hivi ungekua unahara tu humu kama kawaida yako Yahudi wa Nzega.
 
Kama wewe umebarikiwa kupata pesa kwa njia nyepesi mshukuru Mungu sana, usikufuru, lakini pia tambua kwamba hata hao wanaohudumiwa wanayo haki ya kupata huduma, binadamu tu watu wa ajabu sana, kumbuka aliyekupa wewe hilo sofa, ndie huyo huyo aliyempa mwenzio kiti chenye misumari
Dada zetu waliopo Ulaya wanaofanya kazi za kuwaangalia wazungu wazee sana na wenye matatizo ya akili hayo ndio yanayo wakuta dada zetu. Kutafuta pesa kazi sana Pole yake dada yangu huyu.
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft4f%2F1%2F16%2F1f447.png&hash=12aa68841e0d228d9aa4776d400d233b" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

View attachment 1698941
 
Halafu umesikia kanasema, i'm going to call the police.

Na police wa huko, simu moja tu wako mlangoni. Ni bora hata karekodi ushahidi.
 
Kwa vile huyo Dada ananyanyasika huko kwa wazungu unalembesha na muandiko wako na kumsifu mvumilivu,na umeshajua kua sijui kibibi kina upungufu wa akili ila huyo Dada ingekua ananyanyasika kwa Waarabu basi sasa hivi ungekua unahara tu humu kama kawaida yako Yahudi wa Nzega.
... we mbwa usinizoee! Mpuuzi mkubwa.
 
Back
Top Bottom