Haya tena wale munoa penda kufanya kazi za ulaya angalieni hiyo video madhara yake

Uko sahihi kabisa Mkuu!! kwa kuwa una Damu ya kitumwa ila hujijui!!, zamani watumwa km wewe walikuwa wanajitolea tu kwenda kuuzwa kwa ridhaa yao kabisaaa!! hasa kabila km yako!!! japo walitetewa lkn waliua wateteaji wao kwanza.

ki hivi walikuwa wanawahi kujitolea!! tena wako tayari wapigane! ili wazikwe wao wakiwa hai na Mfalme wao!! hata mfalme wa jirani akifa kuna makabila maalum walikuwa wanajitolea kuzikwa kaburi moja na mfalme huyo!! ndiyo damu yako hii!!

hamjaisha kumbe bado mpo?!!

wewe hata jiwe ange kupita mgongoni kwako ungeona sawa tu!! akikutumbua unashangilia eti Rais anakutambua anakujua! kazi unayo fanya. walilaani kutokomeza utumwa!!

Halafu ni ufahari kwenye makabila yenu, kufanyiwa uhuni, kuteswa, kudharauliwa,kutemewa mate, kupuuzwa mbaya zaidi mkitajwa majina yenu !! unatangaza kijiji kizima eti Mzungu anakutambua amakutemea mate!! hatukulaumu ila ndo asili yenu hivo mlivyo!

Nyerere alikuwa akipita Kijini kwenu, akipunga mkono!! Mnabishana amenipungia ''mimi'', mara yeye!! mnakaa barabarani kwa kushindana kutwa nzima!! mpaka nyerere kawaonea aibu akawakataza lkn hamkukoma!! kumbe bado mpo wa hivi??

Watumwa wengi weusi walitakaga wenyewe kuchukuliwa na ngozi nyeupe! tena kwa kushindania, Mimi!!. Mimi!! wewe subiri safari ijayo!! na ukiwatetea wanakuua!!

wanasiasa wana wa kitemi wakaona isiwe taabu wacha waende ila tuta badilisha kibao 'kuwa wamechukuliwa kwa nguvu'' angalia mpaka leo tunawazodoa wazungu kuhusu utumwa

weee!! angalia tu leo hii kuna Muamerica yeyote mweusi anatamani kuja huku Africa? nani?? kwa nini!! wale ni damu ya kitumwa kamwe hawatarudi hata wafe!!

Zazabagomba alipokataa kirahisi tu mbona wazungu walimwachilia?? na akarudi cameroon!! wazungu mnawaonea sana, utumwa utake weye kwa mtu km wewe!!! halafu mzungu alaumiwe!! UTUMwa ilikuwa ni hiali ya mtu km weye unavo tamani na ku be have!!

Kamwe haikuwa lazima ila mambo yamekuzwa na watoto wa machief km sisi! tukapaza sauti ya kiulaji na tumekula kweli, km kweli ilikuwa kuchukuliwa lazima basi black Americans warudi Kwao africa!!! tuna watetea!! tuli watetea sana~~

lkn myoyoni mwao wanaumia hawataki tuwatetee!! wanaona tuna uchoyo nao!! wewe tukikupinga humu utaona sisi wachoyo, visilani ila nendaaaa baba lao. wakitaka naniliu wape!!ukumbuke tu kutu tumia picha unavo fanywa hata naniliu ile wape halafu sisi huku tuyakuze....au unaonaje mkuu!!!

lkn nakwambia wewe ni mtaji mzuri sana kwetu sisi waungwana watoto wa damu ya kifalme! nenda kabisa waambie tena wakunyeee kabisa machoni. sisi tutauza sana vitabu na film!! na safari za UNO tutapiga sana!!

itafika mahali tuta lalamika unavo fanyiwa tutapata hela na heshima km Nyerere! nakutakia uigizaji mwe
hii tutakumegea posh
Mpaka nimekuhurumia ujue.yaani muda uliotumia hapa sijui nisemeje ungeutumia productively. Sasa ni mie nimesema Ila mapovu yake Sasa. Unalazimisha tufanane. Bila ya mfalme hakuna mtumwa. So relax niga with your elitenes/royal family.
 
Mkuu baba umenielewa ndivo sivyo!!! wala sijalazimisha ila nimedadavua tabia!
 
Mkuu baba umenielewa ndivo sivyo!!! wala sijalazimisha ila nimedadavua tabia!
Ndiye Mimi nilikuwa nabishana na wanakijiji kuwa ninesalimiwa.what then unaona Kama hatufai kuishi mkuu Ila ni wewe. Kama haupendi tuwepo mshauri aliyetuumba ili aaumbe unaopenda waishi. Mie Nina njaa ndo Mana nasema ivyo.na kama una kazi nipe ili tusitamani mpaka kunyewa mkuu na mzungu.
Inawezekana sio kuwa inawezekana hujui njaa shida Mana umezaliwa home ukakutana na magari yanaoza Bila ya kutumika.
Kama kijana was Royal family fanya mchakato Kama kuniokoa nisitamani kuolewa na huyo bibi wa kizungu niwe namtawaza mavi yake kwa mouth yangu.

Utumwa ama umasikini no mindset sema njaa no mbaya Sana kijana wa elite society
 
very good umetamka vyema mimi ni elite haswaaaa nitafute dogo ule Maisha
 
very good umetamka vyema mimi ni elite haswaaaa nitafute dogo ule Maisha
Nikutafutaje si ulete mchongo huo Kama uko siriasi njoo inbox umeshajua Nina njaa afu siokujifaragua hapa kuwa mie no elite. Tumia huo u elite wako kusaidia. Njoo inbox uniambie mchongo ulio nao basi. Ila sio masifa Kama waisrael kuwa ndo wa Adamu wa pekee
 
dogo tulia ule maisha siyo kuleta maneno miiingi kwa tajiri, wako mtarajiwa mie tajiri haswaaa unasikia wewe unatakaje kwanz a tuanzie hapo!! kuna yale Magari ya nyarusare one umewahi kuyaoana?? km tayari nenda mida ya kupiga hesabu jioni wambie nime kutuma hela

Jamaa anaitwa Zabroni ufanye haraka kabla hajae nda Bank? thena nambie nchi gani Africa unapenda kufanyia kazi
 
Pamoja na kuwa elite hujajua ninachotaka.ama royal family yako mbona Kama Ina mashaka Fulani.
Kamanineshawahi kuyaona sauzi kwa madiba ama sio hayo
 
Pamoja na kuwa elite hujajua ninachotaka.ama royal family yako mbona Kama Ina mashaka Fulani.
Kamanineshawahi kuyaona sauzi kwa madiba ama sio hayo
SADACC yooote nimewekeza huko!!!

Sasa hapo ndo unakosea unataka mimi tajiri nijue shida yako??? kweli?? Mashaka mashaka ndo ku fail kwako!! think again!! sisi Damu za kitajiri huwaga hatuna mashaka ktk kutafuta mkondo wa hela tunalengaga mulemule!! ndo siri yetu!!
 
Back
Top Bottom