Haya tena wale munoa penda kufanya kazi za ulaya angalieni hiyo video madhara yake

Kuna binadamu wana roho mbaya. Sasa kama huyo unaona kabisa ametelekezwa, anakaa mwenyewe.

Kawékewa msaidizi lakini tabu tupu.

Hapo hata watoto wake watashindwa hata wamsaidie vipi.

Huyo probably ana chronic depression kutokana na upweke.
Huyu ni wa kuwekewa sumu afe hana faida yoyote hapa duniani
 
Uvumilivu huo kwa mshahara wa Dola ngapi???? Nyeeee swela hela.... ningeishia jela!
 
Kuna tajiri wa malori sjui mhindi/mwarabu
Alimtandikaga dereva wake risasi alikufa
Hapo hapo vyombo vya habari viliripoti
Vp kna hatua gani ilichukuliwaaaa maana jamaa
Hakuchukuliwa hatua youote

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
yule jamaa alikuwa dereva aliiba mafuta zilikuwa lori za Usangu
 
Kitendo ambacho ningemfanyia huyo bibi wazungu wasingekaa wawape tena ajia za ndani waafrika. Ngumu moja tu ingemtosha kumpunguza hapa dunian
 
Nimechunguza wengi wenu muliotoa hoja mna mioyo mepesi hamuwezi kufanya kazi ulaya au uarabuni kazi za ndani. Mutawauwa munao waangalia wazee vikongwe kama huyo bibi.
 
Ingelikuwa ni wewe ungekubali kufanyiwa hivyo alivyo fanyiwa huyo Mwanamke? Ungeliweza kuvumilia na hiyo kazi?
Tena huku Bongo ndo kabisaaa!! unafanyiwa hivo na ndugu km shangazi yako kabisaaa!! tumbo moja na Babako na anaishi kwa nyumba aliyojenga baba yako!!

hapo cha mtoto!! km haitoshi anagegedwa kwa kila aina ya mitindo mbele yako unaona hiviiiiiii!!! ole wako useme!!

Kazi ni kazi na wewe!! afadhali huyo anae fanyiwa ni mkubwa tena analipwa na anaishi kwa masaa na ana uhuru wa kuondoka hapo kwenda kwingine!! lkn hapo kwa shangazi yako unajua wewe mburula tu, tena Duni huna pa kwenda!! kuumbe kwenu!!

Unaamini umezaliwa kumtumikia mtu km huyo!! watu wa pembeni ndiyo wata kutetea lkn wee hutajua sababu ya utoto, na hujawahi ishi maisha zaidi ya hayo!! lkn huyu mkeo nikimuangalia amekomaa tena ana kambeto vizuri tu, halafu siyo mbaya saana!! wa sura!!

Hana maamuzi mazuri kichwani!! ni nusu kichaa!! mtu na akili zako huwezi fanyiwa hivi, ila km mimi nikipewa hao wazee ndo wana nifaa sana!! watazaa wote sijali lkn atachezea naniliu sana si unaona kibibi hakija zeeka sana! bado kinalipa!! niunganishe mkuu, nije nimsaidie huyo dada kazi!
 
Mie hata akinikojolea sawa tu ama akinipaka mavi mbona fresh sana
Uko sahihi kabisa Mkuu!! kwa kuwa una Damu ya kitumwa ila hujijui!!, zamani watumwa km wewe walikuwa wanajitolea tu kwenda kuuzwa kwa ridhaa yao kabisaaa!! hasa kabila km yako!!! japo walitetewa lkn waliua wateteaji wao kwanza.

ki hivi walikuwa wanawahi kujitolea!! tena wako tayari wapigane! ili wazikwe wao wakiwa hai na Mfalme wao!! hata mfalme wa jirani akifa kuna makabila maalum walikuwa wanajitolea kuzikwa kaburi moja na mfalme huyo!! ndiyo damu yako hii!!

hamjaisha kumbe bado mpo?!!

wewe hata jiwe ange kupita mgongoni kwako ungeona sawa tu!! akikutumbua unashangilia eti Rais anakutambua anakujua! kazi unayo fanya. walilaani kutokomeza utumwa!!

Halafu ni ufahari kwenye makabila yenu, kufanyiwa uhuni, kuteswa, kudharauliwa,kutemewa mate, kupuuzwa mbaya zaidi mkitajwa majina yenu !! unatangaza kijiji kizima eti Mzungu anakutambua amakutemea mate!! hatukulaumu ila ndo asili yenu hivo mlivyo!

Nyerere alikuwa akipita Kijini kwenu, akipunga mkono!! Mnabishana amenipungia ''mimi'', mara yeye!! mnakaa barabarani kwa kushindana kutwa nzima!! mpaka nyerere kawaonea aibu akawakataza lkn hamkukoma!! kumbe bado mpo wa hivi??

Watumwa wengi weusi walitakaga wenyewe kuchukuliwa na ngozi nyeupe! tena kwa kushindania, Mimi!!. Mimi!! wewe subiri safari ijayo!! na ukiwatetea wanakuua!!

wanasiasa wana wa kitemi wakaona isiwe taabu wacha waende ila tuta badilisha kibao 'kuwa wamechukuliwa kwa nguvu'' angalia mpaka leo tunawazodoa wazungu kuhusu utumwa

weee!! angalia tu leo hii kuna Muamerica yeyote mweusi anatamani kuja huku Africa? nani?? kwa nini!! wale ni damu ya kitumwa kamwe hawatarudi hata wafe!!

Zazabagomba alipokataa kirahisi tu mbona wazungu walimwachilia?? na akarudi cameroon!! wazungu mnawaonea sana, utumwa utake weye kwa mtu km wewe!!! halafu mzungu alaumiwe!! UTUMwa ilikuwa ni hiali ya mtu km weye unavo tamani na ku be have!!

Kamwe haikuwa lazima ila mambo yamekuzwa na watoto wa machief km sisi! tukapaza sauti ya kiulaji na tumekula kweli, km kweli ilikuwa kuchukuliwa lazima basi black Americans warudi Kwao africa!!! tuna watetea!! tuli watetea sana~~

lkn myoyoni mwao wanaumia hawataki tuwatetee!! wanaona tuna uchoyo nao!! wewe tukikupinga humu utaona sisi wachoyo, visilani ila nendaaaa baba lao. wakitaka naniliu wape!!ukumbuke tu kutu tumia picha unavo fanywa hata naniliu ile wape halafu sisi huku tuyakuze....au unaonaje mkuu!!!

lkn nakwambia wewe ni mtaji mzuri sana kwetu sisi waungwana watoto wa damu ya kifalme! nenda kabisa waambie tena wakunyeee kabisa machoni. sisi tutauza sana vitabu na film!! na safari za UNO tutapiga sana!!

itafika mahali tuta lalamika unavo fanyiwa tutapata hela na heshima km Nyerere! nakutakia uigizaji mwema ila kwa saabu tumekwambia siri hii tutakumegea posho!!
 
Ni busara tu ndugu inabidi itumike, mimi hata mtu anayetumia nguvu kubwa kumdhibiti mtoto mdogo asiyekuwa na akili huwa namshangaa sana, kwasababu ushajua huyu hana akili, kumkazia sana ni kujionesha kwa jinsi gani wewe mhusika ndio huna akili.
Kwa heshima naombamuwe mke wa saba, nitakujali, km jamaa yako haeleweki njooo bure nakutumia nauli
 
Back
Top Bottom