Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Naomba kuuliza huyu mtoa sredi:

Ni mvulana au msichana?
Ameoa au ameolewa?
Amechumbia au amechumbiwa?
Amezaa au amezalisha?
Ni mwanamke au mwanaume?
Ni kibabu au kibibi
Ni mjukuu au ni mpwa?

Mjukuu mmoja mwadilifu aje huku kitandani na majibu tafazali!
 
mh!kokudo kama hajaridhika basi tena,,,kokudo anzisha sred nyingine kujipongeza kwa haya mafanikio
 
mh!kokudo kama hajaridhika basi tena,,,kokudo anzisha sred nyingine kujipongeza kwa haya mafanikio

Ataanzisha si unakumbuka ile ya handbags za wanawake??? alianzisha nyingine kuuliza kwa nini ile ya kwanza ilipata mafanikio
 
Naomba kuuliza huyu mtoa sredi:

Ni mvulana au msichana?
Ameoa au ameolewa?
Amechumbia au amechumbiwa?
Amezaa au amezalisha?
Ni mwanamke au mwanaume?
Ni kibabu au kibibi
Ni mjukuu au ni mpwa?

Mjukuu mmoja mwadilifu aje huku kitandani na majibu tafazali!
Duh!!!! Wajukuu mnaitwa na babu yenu
 
wanatoa michango inayopendwa...na si kwamba wanapendwa...wewe ukipost pumba unafikiri kuna watu wana muda wa kuhangaika kusoma....jenga jina lako kwa kuandika yanayojenga uone kama hawatakushabikia pia
 
Aisee haya
 
Naomba kuuliza huyu mtoa sredi:

Ni mvulana au msichana?
Ameoa au ameolewa?
Amechumbia au amechumbiwa?
Amezaa au amezalisha?
Ni mwanamke au mwanaume?
Ni kibabu au kibibi
Ni mjukuu au ni mpwa?

Mjukuu mmoja mwadilifu aje huku kitandani na majibu tafazali!
Nimeshajibu au hukuisoma?jibaba
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

Kaka wasipochangia achana nao. Mimi wakikataa kuchangia naenda na mada yangu baa nikiwa na kitu kama TZS 50,000. Namwaga raundi ya kwanza, ya pili, ya tatu,,,, halafu nitupa mada hewani. Weee, hata kama mada ni pumba ni lazima watu wachangie ili nisiondoke.

Kaka usipate vidonda vya tumbo, ndivyo wanadamu tulivyo. Kujuana lazima.

MANGALIA watu watakavyoisapoti post yangu. Usione wivu, vidole havilingani.
 
Ahaaa ahaaaa Kashaija l.o.l
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom