Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Kokudo sijataka kulalamika tu!! Lakini nakumbuka uliwahi kuaga unasafiri nikakuaga tena nikawa nakuomba useme unaenda wapi halafu hukusema!! Umeenda umerudi nimekukaribisha. Kama sichangii nimeyajua je hayo. Wewe acha utoto!!!!!! Sawa!!! Sema sawa mama!!!
Sawa mama nimekuelewa.pole kwa kukukwaza nisamehe ok
 
Sawa mama nimekuelewa.pole kwa kukukwaza nisamehe ok

Kumbe saa nyingine unakuwa mpole si kama hapa

mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
 
Kumbe saa nyingine unakuwa mpole si kama hapa

mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Jamani dena c yamekwisha jamani?bc na wewe nisamehe mamangu/babangu
 
jmani wote mliochangia hapa nataka niwape zawadi.
 
The finest&dena sichungulii jamani speed yangu ni ya kinyonga but thanks all members nawapenda wote mlojoin pa1 kahawa yenye sukari ndo naamka nilchelewa lala

Gonga thanks bana sio ya mdomo tu jana tumelala usiku wa manane tunachangia tu naniino yako
 
Nawapenda wote , nawatakia siku njema. Harambee imevuka lengo manake page zimevuka 30.

Mkuu Kokudo are you happy?

:wink2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom