Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Kokudo sijataka kulalamika tu!! Lakini nakumbuka uliwahi kuaga unasafiri nikakuaga tena nikawa nakuomba useme unaenda wapi halafu hukusema!! Umeenda umerudi nimekukaribisha. Kama sichangii nimeyajua je hayo. Wewe acha utoto!!!!!! Sawa!!! Sema sawa mama!!!
 
HII NDIO PICHA YA KUFUNGIA HII SREDI

mpiga+picha.jpg

Hashy jamaniiiiiii...
 
leo tunachangia thread yako tu.... tuko page ya 11 sasa....

leo uko barabarani kinyama
 
Yaani ukiwa konda ndo uite wake wa wenzako majina ya chumbani . . . ??
Au kwa vile wewe ndo AL Adawi wa hichi kipanya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom