Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

<br />
<br />
Ndo zake mzee wa chabo huyo
The finest&dena sichungulii jamani speed yangu ni ya kinyonga but thanks all members nawapenda wote mlojoin pa1 kahawa yenye sukari ndo naamka nilchelewa lala
 
Hivi hii ngoma ilikisha halafu bado inaendelea? Mmekunywa chai lakini? Mi DJ wenu niko huku kwa DO WaNCE!!! Ha ha ha kokudo wangu eeh, eeh!! Mimi Elodiii!! eeh!!
 
Hivi hii ngoma ilikisha halafu bado inaendelea? Mmekunywa chai lakini? Mi DJ wenu niko huku kwa DO WaNCE!!! Ha ha ha kokudo wangu eeh, eeh!! Mimi Elodiii!! eeh!!

LD hii ngoma ilikesha swali la kizushi huko DO ONCE unafanya nini?
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

Ukiona kwenye mpnz posts zako hazichangiwi, jaribu kwenye siasa. nako zikigoma jaribu kwenye dini. Nako zikigoma, mwambie mod aanzishe jukwaa la umbea...
 
Mie leo sichangii thread yoyote ni hii tu mpaka nitimize post 3000 kwa kokudo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom