Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

HII NDIO PICHA YA KUFUNGIA HII SREDI

mpiga+picha.jpg
 
LD hii ngoma ilikesha swali la kizushi huko DO ONCE unafanya nini?

Mwenzangu huku unakwenda bila kupenda lol!! Do wance anakutembelea asubuhi bila hata taarifa. Basi na kamobile nako kakiisha mafuta ya taa basi unakuwa mbali na wapwaaaazi kabisa......!!!!
 
HC bana hiyo picha hata ukiiweka mimi simalizi hii thread mpaka 3000 post zitimie za kwangu tu
 
Mwenzangu huku unakwenda bila kupenda lol!! Do wance anakutembelea asubuhi bila hata taarifa. Basi na kamobile nako kakiisha mafuta ya taa basi unakuwa mbali na wapwaaaazi kabisa......!!!!

Orait Orait nimekusoma
 
Nzuri dena amsi hofu kwako?wambie wadau zimetosha

Ha ha ha ha umechoka anzisha nyingine basi!!! Tuliongeza page mpaka zifike 50 unasemaje?? Ila speed ya thanx ongeza basi hujanigongea hata moja jamani na kuchangia kote huku??
 
sijawahi acha kuchangia thread yako labda kama sikuiona,nimeona kama umenionea Kokudo!!!
Basi pole nisamehe mamangu/babangu but mi ckukuandika kwa ubaya jamani
 
Jamani, hili daladala linaenda wapi?
 
Usihofu mwana JF kaza buti tuma nyingi tutazichangia tu maana wengine tuna kiherehere na kimuhemuhe cha kuchangia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom