Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

Kinachoangaliwa ni muda au ujazo na mshiko wa mada?
 
Jamni mwenye mada umeridhika au wataka na THANKS!!!
Mwenye mada amekumbwa na ukame wa kutoa THANKS dah tokea October 2010 ametoa thanks 4 tu inaonekana mvua haijanyesha kwahiyo kuna ukame wa kuwapa watu thanks upande wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom