Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Hope you are doin good leo nani alikuwa amekuficha muda wote huo
Niko mzima TF....hofu kwako!....
Kaisari leo alikuwa mkali.....so nilikuwa natimiza wajibu!
Hajambo AD lakini?
Hope you are doin good leo nani alikuwa amekuficha muda wote huo
Aiseee mimi amenitumikisha hadi naanza kuhisi nguvu za kiume zimepungua l.o.l aisee hajambo mzima kabisa anakusalimuNiko mzima TF....hofu kwako!....
Kaisari leo alikuwa mkali.....so nilikuwa natimiza wajibu!
Hajambo AD lakini?

hatimae kurasa 20 zimefika....hureeeeeeeeeeeeeeeee wana JF tujipongeze kwa kazi hii nzito,kokudo cheki jinsi unavyopendwa...fungua champagne tugonge cheeeeeeeeeeeers!
Sijambo dearest.....habari yako binafsi?umekuwa adimu kama miguu ya nyoka jamani?
So next time akilalamika tena tuna refer hii thread

Dah afadhali TF hongera kwa kuweka idadi ya 20 tumetimiza
Aiseee mimi amenitumikisha hadi naanza kuhisi nguvu za kiume zimepungua l.o.l aisee hajambo mzima kabisa anakusalimu
Aiseee mimi amenitumikisha hadi naanza kuhisi nguvu za kiume zimepungua

Niwapongezeni tu kukamilisha hii harambee ya kokudo
hahaha wewe ndio wale mnaojiandaa mkisikia kuna wali/pilau mahali mnakuja na ndizi zenu za kushushia lol :wink2::wink2:
na maziwa bariiid..hahaha.
Naona hii harambee imepumzika kesho itaendelea tena l.o.l wachangishaji wakuu ni Michelle, Kimey, Dena, Hashy, Maria Roza, TF, Lizzy, LD na wengineoNiwapongezeni tu kukamilisha hii harambee ya kokudo
Ha ahah ahaaa kule nilionaMhhhh...mbona pole kwa hilo dear....usisahau kula vitunguu saumu....kuna mahali niliisikia hii kitu inasaidia.....🙂

Ayaaa weeee kumbe wewe ni.......mweh!!!!!
nipo mpendwa, majukumu, mawese next week.

Naona hii harambee imepumzika kesho itaendelea tena l.o.l wachangishaji wakuu ni Michelle, Kimey, Dena, Hashy, Maria Roza, TF, Lizzy, LD na wengineo
Naona hii harambee imepumzika kesho itaendelea tena l.o.l wachangishaji wakuu ni Michelle, Kimey, Dena, Hashy, Maria Roza, TF, Lizzy, LD na wengineo
Ahaaaaa ahaaaaa ahaaaaa waache wafu wawazike wafu wenzao

Nini lakn wewe? Potezea bac

Nini lakn wewe? Potezea bac

Tukiamua tunaweza