Kheeee Kheeeee Kheeee VISHAROBARO banaaa vingine
KOKUDOOO! Uwapi ndugu yangu? Umeshajua maana ya msemo USIANDAE MKEKA KABLA HUJAJUA IDADI YA WAGENI? Leo kula kwako,kulala kwako na usisahau wengine 2narauka makazini kesho.halahala mkuu.wapi ubwabwa?[/QUOTE]
hahahaha Fundiaminy umenichekesha ujue....

Mdogo mdogo aisee. Hali ya mawingt ni tete mvua yaweza kunyesha mda wowote

saaly ucjali.hata ukininyima hio senksi mi najibugia hapa...tena kuna m2 kaiba pilipili zangu hapa.
Kheeee Kheeeee Kheeeee mara hii umekwishaanzaUkome kujifanya unajua jua watu

Naam, na mi naomba kushiriki kazi hii ya jamii hadi kieleweke
Niaje leo hauko Martha Karua mzima

Mdogo mdogo aisee. Hali ya mawingt ni tete mvua yaweza kunyesha mda wowote
Kheeee Kheeeee Kheeeee mara hii umekwishaanza
hatimae kurasa 20 zimefika....hureeeeeeeeeeeeeeeee wana JF tujipongeze kwa kazi hii nzito,kokudo cheki jinsi unavyopendwa...fungua champagne tugonge cheeeeeeeeeeeers!:A S 13:

Karibu permision granted
Aaaaaggrrrrr, ina maana nimechelewa?
Nahakikisha hii thread leo inafika page hadi ya 20 l.o.l
saaly ucjali.hata ukininyima hio senksi mi najibugia hapa...tena kuna m2 kaiba pilipili zangu hapa.
hahaha wewe ndio wale mnaojiandaa mkisikia kuna wali/pilau mahali mnakuja na ndizi zenu za kushushia lol :wink2::wink2:
Hope you are doin good leo nani alikuwa amekuficha muda wote huoTF.. pata hii kitu kwa juhudi kubwa kufanikisha hii harambeee......
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:
Keren_Happuch (Today)
Kunanini tena michelle?
heheh sio saana,ndio nyie nyie wakuzuga mnajitokezaga wkt wenzenu kazi nzito wameimaliza,anyway endelea kuongeza ongeza tumfurahishe kokudo hahaha:wink2::wink2::wink2:
Kheeee Kheeeee Kheeeee mara hii umekwishaanza
Fufu funyufunyunyu fukunyua wahenga wasemaa "leo ni leo msema kesho mrongo". Jambo Michelle?