Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

KOKUDOOO! Uwapi ndugu yangu? Umeshajua maana ya msemo USIANDAE MKEKA KABLA HUJAJUA IDADI YA WAGENI? Leo kula kwako,kulala kwako na usisahau wengine 2narauka makazini kesho.halahala mkuu.wapi ubwabwa?[/QUOTE]

hahahaha Fundiaminy umenichekesha ujue....

KOKUDOOO! Uwapi ndugu yangu? Umeshajua maana ya msemo USIANDAE MKEKA KABLA HUJAJUA IDADI YA WAGENI? Leo kula kwako,kulala kwako na usisahau wengine 2narauka makazini kesho.halahala mkuu.wapi ubwabwa?

Mie nilidhani peke yangu na hamu ya ubwabwa kumbe tuko wengi

usikonde ni swala tu la kujenga brand name. Ukishaweka hiyo brand name hata products zikiwa viwango ni vya chini watu wanaweza wakavikubali tu. But nakubaliana na wewe kwa upande mmoja kwamba yawezekana wanajuana nje pia ya jukwaa. Labda wenyewe pia wachangie kwamba siri yao ipo wapi

ayaaaa mie ndo nilikuwa namalizia kuandika pm nikidhani wewe ni.......

Mdogo mdogo HC

usikonde ni swala tu la kujenga brand name. Ukishaweka hiyo brand name hata products zikiwa viwango ni vya chini watu wanaweza wakavikubali tu. But nakubaliana na wewe kwa upande mmoja kwamba yawezekana wanajuana nje pia ya jukwaa. Labda wenyewe pia wachangie kwamba siri yao ipo wapi

Kwasababu nimetajwa nasisitiza simjui mtu humu!

Fufu funyufunyunyu fukunyua wahenga wasemaa "leo ni leo msema kesho mrongo". Jambo Michelle?

Duuu!!!

Haya sasa na sisi tunangia night shift. Poleni na kazi wakuu mliokuwa zamu tangu asubuhi!

Similar Discussions

Back
Top Bottom