Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
PM,

Huko kufake kifo kunatokea dunia nzima. nenda kule kwenye Ballali hajafa na soma hiyo familia ya UK ambayo hata watoto waliamini baba yao kafa.

basi ikifikia hapo ni bora to seek msaada wa FBI,CIA...na vyombo vingine...maana naona hawa usalama wa taifa wetu feki...na othman bitoz wao...ni aibu kama hawakujua kama balali kafa a week ago!!!!....hadi wanafikia kutumia dola zetu kwenda kumtafuta...walitakiwa wawe na first hand information wakati wote...!!..sio kujua kutega panya tu,kufuatilia wanashindwa!!

nakubaliana na wewe kuwa kuna hata yule mzee aliyezaa na binti yake ..kwa miaka 24 ali fake kuwa amepotea ..kumbe anaishi kwenye bunkler...so tuseme balali na uzee wake ataanza kuishi kwenye handaki ..ndani ya nyumba yake!!??

tuamini tu kuwa balali kafa!!!
 
Hii habari ya Mkono kuachiwa maelezo na Balali halikubaliki! Hapo ndipo changa la macho litakapoanzia!! Mkono naye ni fisadi, sasa tukimsikiliza Mkono atatuchanganya bure. Balali amefariki, kazi ya kupamabana na mafisadi iendelee palepale.
 
Hata kama Ballali asingekufa serikali iliamua kumlinda, kwa hiyo tofauti hakuna! Hawa wote ni Mafisadi! Cha msingi ni kubadili serikali ili tujue kama Ballali amekufa amekufaje na wale wote waliohusika naye labda nao wafe kabla lakini washughulikiwe tu! Hii habari ya kuleta mambo ya kitoto na pesa za nchi yetu lazima ifike mwisho! Hawa viongozi ni watu kama sisi. Tumeona nchi nyingi zinazoendelea kwa kasi zilivyokuwa serious na viongozi wabovu. Na sisi hili halitakwepeka, itabidi tu maji tuyaoge maadam tumeyavulia nguo: Kama ni JK kung'oka na ang'oke. Hapa heshima haitakuja kwa maneno ya online! Hawa wazee wengi wa zamani hata mitandao hawaijui! Wanasikia tu kuna jamii forum!!
 
Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:

a. Balali amefia nyumbani kwake Georgetown, karibu kabisa na hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown. Amefia nyumbani siyo State ya Wisconsin.

b. However hospitali hiyo upande wake mmoja kuna mtaa wa Wisconsin.

c. Mtaa wa Wisconsin ndiko iliko nyumba ya maziko ambako mwili wake umehifadhiwa. Hivyo siyo State ya Wisconsin.

Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.

Babumwanakijiji sasa huo waraka ulioachiwa na marehemu si ungeushusha hapa... au unasubiri the right time, natumaini ulikuwa bega kwa bega katika kumtibia marehemu!
 
Kwa hiyo kama kafia nyumbani kwake...Alipopelekwa huko hospital/funeral home ambako ni karibu na nyumbani kwake alikuwa keshafufuka ama?

Maana watu hawapati ripoti ya kifo toka hapo hospital wala funeral home!

Unless alifufuka kabla hao watu wa hospital/funeral home hawajaripoti hicho kifo chake kilichotokea nyumbani!

Ama ni nyumba ya maziko iko karibu na university hospital at the same time karibu na nyumbani kwake!?

Kama huyu mtu amekufa kifo cha kawaida...Then huo utaraibu hapo juu hauonyeshi hivyo kabisa!
Huo utaratibu hapo juu umekaa kimpango mpango!?
 
Green 29,

Wacha kumkebehi Mwanakijiji , kama una jambo la kuongea ongea lakini mwaache jamaa akate ishu.
 
Kuna wenye kuamini kuwa Ballali alikuwa na uraia wa marekani!
Na sisi tunafahamu kuwa...
Balali alivuliwa visa yake na Marekani mara baada ya kutimuliwa na JK.
Sasa huo uraia sijui aliupata lini na kwa kutumia jina gani!
Hapo ndio kwenye maswali!
progress.gif
 
Kama huyu mtu amekufa kifo cha kawaida...Then huo utaraibu hapo juu hauonyeshi hivyo kabisa!
Huo utaratibu hapo juu umekaa kimpango mpango!?

Na kama kafia nyumbani, hakuna daktari amemfanyia postpartum? au ndugu pia hawakuta marehemu afanyiwe hiyo kitu kwani kuchelea kumuadhiri maiti, na je yawezekana mtu akazikwa bila kutolewa kibali toka kwa mamlaka inayohusika? Kama kafa jamani balali kafa kifo kibaya, na mihela yake yote hakuna kucelebrate his life kisa ufisadi.... labda majibu yatapatikana hiyo kesho.
 
Kweli kabisa mama

Alianza Mobutu wa Zaire na Balali naona yame(ta)mkuta yale yale.
 
Kuna wenye kuamini kuwa Ballali alikuwa na uraia wa marekani!
Na sisi tunafahamu kuwa...
Balali alivuliwa visa yake na Marekani mara baada ya kutimuliwa na JK.
Sasa huo uraia sijui aliupata lini na kwa kutumia jina gani!
Hapo ndio kwenye maswali!
progress.gif

Wamarekani walifanya usanii tu pale kwenye visa.... umemsahau Kichaka jinsi alivyojaa usanii hadi kwenye damu!
 
Mzee Mwanakijiji katika ile thread ya Ballali Hatunaye kama sikosei alituomba tusubiri hiyo Ijumaa(kesho) baada ya maziko ambapo "Episode" nyingine inakuja...
 
Kwani kesho kuna nini?

Wamesema ni private funeral! That is the end of Ballal's story.

Mpaka atapo ibuka na Tupac!

Ukisoma ile thread ya Invisible ya kutangaza kifo cha Ballali ilisema kuwa mengi zaidi yanakuja (probably by the end of the week) na baadaye ijumaa ikawa inatajwa kama siku ya hayo mengi kuanza kuja....

Kaa mkao wa kula... tafuta popcorn za Iowa na utafurahia hii movie ambayo ndio mwanzo iko kwenye previews.
 
Jamani,

Nisaidieni, hivi mtu akifia nyumbani, ambulance haiitwi na kumpeleka hospitali ili madaktari wakachunguze kifo chake?

Hapa nilipo mimi nimewahi kuona bibi anakufa nyumbani kwake, baadaye ambulance ikaja kuchukua maiti na kupeleka hospitali kwanza.

Naamini hata USA ni hivyo hivyo. Nitashangaa nchi kama USA kukubali tu kwamba mtu amekufa bila madaktari kuthibitisha.
 
Hivi kwanini maiti haionyeshwi then? kwani marekani ni muhimbili maiti inaharibika? maana huku ulaya maiti ni handsome/beautiful kama supermodel.
 
Yote haya yanatokea hapa US (most of the time) na inawezekana yalitokea hapa pia.
 
Hivi kwanini maiti haionyeshwi then? kwani marekani ni muhimbili maiti inaharibika? maana huku ulaya maiti ni handsome/beautiful kama supermodel.

Kuonyesha au kutokuonyesha ni uamuzi wa familia . Zaidi wameshasema kuwa hii shughuli itakuwa private kwa hiyo sio kila mtu atakayeruhusiwa kuhudhuria .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom