William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #61
Mkuu MMJ,
Naomba kusema hivi, this was not an easy thing yaani kupata hizi dataz, masahihisho yako ni kweli, na kama kawaida hatukuwa mbali na ukweli, tulichokosea tu ni kutofautisha state na street, na kama kawaida tunaendelea kupata more dataz:-
1. According to the dataz ni kwamba hakufariki siku tuliyoambiwa originally, ukweli ni kuwa alifariki Jumapili Usiku.
2. Alipotoka bongo, alikaa Hospitali mpaka mwezi wa pili ambako alitoka akiwa mzima kabisa mwenye afya njema, kwa hiyo muda wote huu amekuwa akiishi akiwa mzima na mwenye afya njema.
3. Katika siku za karibuni, alikutana na Mkono, kwa muda mrefu sana, ambako dataz zinasema alimkabidhi vifaa vyote vya uhakika, sasa hapa niweke wazi kuwa dataz zinadai waliokuwa na tatizo naye ni baadhi ya viongozi wa awamu ya tatu na sio ya nne, kwa hiyo vifaa alivyoviacha marehemu sio tu amepewa Mkono, kuna wengine pia waliopewa, dataz zinadai ni pamoja na muungwana!
4. Ni kweli atazikwa kesho na the dataz ni itakuwa kwenye makaburi ya The Heaven Of Peace, DC na ni kwa invitation only hakuna kuvamia.
Ninapenda kuchukua nafasi hii kutoa salaam zangu za dhati kwa familia ya Muganda, kutokana na kifo hiki ambacho kimetokea ghafla sana, na ambacho hakikutegemewa, na pia ninawaomba radhi pia familia hii ambayo kwa kweli ni my people na ninajua kuwa wasingependa habari hizi ziwe zimetolewa kwa wakati huu kutokana na sababu zao binafsi zinazofahamika na kukubalika, lakini I had to work very hard kuzipata hizi dataz kutoka kwenye independent lines,
ningezipata kutoka kwao nisingeziweka hapa, na pia zingine nimeamua kuzibakiza kwa kuheshimu privacy yao ambayo ninawapa heshima kwa kuweza kulinda habari hizi mpaka dakika ya mwisho, ninawatakia rehema ya Mungu iwafike katika hiki kipindi kigumu, hasa kwako Sister Anna, na wengine wote, now siasa ni one thing, lakini bado sisi ni bin-adam, na wakati utakapokuwa muafaka tutajadili zaidi the dataz na kwa kina,
Ninawatakia maombolezo mema na mazishi yenye amani, na Mungu amuweke mahali pema marehemu peponi, kwa kweli ninategemea familia hii wataturuhusu kuuweka ukweli unapotakiwa when the time is right kuhusiana na kifo hiki kwa sababu kutokana na dataz ninazozidi kuzipata kuna facts nyingi sana zinahitaji kuwekwa wazi ili ukweli na uongo ujitenge!
Ahsante Wakuu! Na JF Mbele Zaidi!