Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Apr 27, 2006
26,584
10,389
Dakika tano zilizopita nimefanikiwa kupata dataz za ukweli 100% kuwa kweli Balali, amefariki napenda kutoa pole kwa ndugu,

According to the dataz amefia DC, nyumbani kwake ghafla Jumapili usiku.........!

Na the more dataz ni kwamba kabla hajafa, alikuwa na masaa kama 24 ya siri kwa mazungumzo na Mbunge Mkono.......,

Mazishi ni kesho DC, nitarudi baadaye kwa dataz zaidi!

Ahsante Wakuu, na Mods Mnaeza kuiunganisha hii ikiisha expire!
 
Too late Mkuu,

Ishakuwa public knowledge kitambo mpaka bureaucrats wetu washaikubali, siyo breaking news tena.
 
Dakika tano zilizopita nimefanikiwa kupata dataz za ukweli 100% kuwa kweli Balali, amefariki napenda kutoa pole kwa ndugu,

According to the dataz amefia Winsconsin State, katika Hospitali moja kwenye kitongoji cha mji wa Madison,

Na the more dataz ni kwamba kabla hajafa, alikuwa na masaa kama 24 ya siri kwa mazungumzo na Mbunge Mkono.......,

Mazishi ni kesho DC, nitarudi baadaye kwa dataz zaidi!

Ahsante Wakuu, na Mods Mnaeza kuiunganisha hii ikiisha expire!

Asante mkuu,

Tafuta habari zaidi kwenye hili ili kupata vyanzo mbalimbali vya uhakika.
 
Field Marshall kiboko! Sina mbavu...

Watu wamemchana kwenye thread ya "huyu mtu ana akili" Field Marshall akaona, duuh, reputation sasa iko on the line. Kaja na info za Nguvu!

Ha ha ha aaaa... This forum is smt else! Gosh! LOL

Nimekukubali Mkuu. Wisconsin, duuh. Kwa kweli hakuna aliye kuwa na mchongo huu, wala hatukujua ni nani Billal kamuachia ki death notice. Kumbe Mkono? Itakuwa wakati ule Mkono kaja USA mwezi uliopita basi.

Yani sina mbavu tactics za FMES! Nimemkubali!

I mean who knew of Madison, WI and Mkono connection? LOL!
 
Ina maana alikuwa jirani tu hapa ngoja nina masela wangu pale UW Madison na University of Wisconsin Hospitals nione kama nitapata lolote kuhusiana na Ballali.
 
Hivi kumbe kuna watu walikuwa hawajaamini, makubwa!!

sio walikuwa hawajaamini, bado tuko ambao mpaka sasa hivi tunaona kama ni mchezo mchafu huu

Wewe kwa serikali ya Mh. Kisura, utakiwi kuamini mambo hovyo hovyo,
Hapa ndio maana hawa jamaa wanatuona sisi kuwa ni hewa, na ndio maana tuliambiwa kuwa pesa za EPA zimerudishwa BOT na watanzania wakaamini

Lakini tuko wachache ambao tuko Tomaso hatuamini, mpaka ushaidi wa kujitosheleza.

Eti kabla hajafa, alikuwa na maa 24 ya faragha na Fisadi mkono,!!! Huu ndi usanii wenyewe sasa
 
Wabongo bana...yana hata kifo cha mtu kinakuwa na utata....jamani mtu akifa si kafa tu? Utata unatokea wapi sasa? Ingekuwa utata upo kwa jinsi alivyokufa hapo ningeelewa.....aaaahhh...Ndivyo Tulivyo bana....
 
Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:

a. Balali amefia nyumbani kwake Georgetown, karibu kabisa na hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown. Amefia nyumbani siyo State ya Wisconsin.

b. However hospitali hiyo upande wake mmoja kuna mtaa wa Wisconsin.

c. Mtaa wa Wisconsin ndiko iliko nyumba ya maziko ambako mwili wake umehifadhiwa. Hivyo siyo State ya Wisconsin.

Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.
 
Changa la macho hili jamani
Hii ndio inanifanya nisikubali kama huyu jamaa kafa ajamani
Ebu angalia hii scenalioa jamani

Balali serikali ilisema haijui halipo, haya taarifa za kufa zimepatikana
Balali anazikwa Marekani, sababu alisema hasizikwe Bongo, (uongo huu)
Haya hii imeenda mpaka eti hakuna kuona mwili wa marehemu, jamani hapa linazikwa gogo jamani kama hamjui,
haya hila hii ndie serikali ya Mh Kisura
 
Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:

a. Balali amefia nyumbani kwake Georgetown, karibu kabisa na hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown. Amefia nyumbani siyo State ya Wisconsin.

b. However hospitali hiyo upande wake mmoja kuna mtaa wa Wisconsin.

c. Mtaa wa Wisconsin ndiko iliko nyumba ya maziko ambako mwili wake umehifadhiwa. Hivyo siyo State ya Wisconsin.

Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.

Lol that is what I thought!!!!!
Devol Funeral Home ni kweli iko mtaa wa Wisconsin.
 
Mwanakijiji ahsante kwa kuweka sawa kwa sababu hata mimi nimetoka kuongea na washikaji wa Wisconsin ambao wapo UW Hospitals wanasema hakukuwa na mtu kama huyo kwenye database yao.

Unajua ................................ okay pouwaaaa tu Cadaver Cadaver, Iko siku aiight !!
 
Hii ya kukataa kuonyesha mwili kama kweli kafa familia inafanya bonge la mistake.Litafuel speculations zaidi kwamba jamaa kacheza Makaveli.Anawauzia watu mbuzi kwenye gunia kanyaboya style.
 
...du kama aliyeachiwa huo waraka wa ukweli wa balali ni ..mkono,basi tena ..sidhani kama atakuwa tayari kuuweka hadharani!!
 
Hii ya kukataa kuonyesha mwili kama kweli kafa familia inafanya bonge la mistake.Litafuel speculations zaidi kwamba jamaa kacheza Makaveli.Anawauzia watu mbuzi kwenye gunia kanyaboya style.

Na hii ndio manake jamani
Mimi nawambia huyu jamaa hajafa jamani, na ndio maana hawataki kuonyesha mwili, hapa linazikwa Gogo, balali kabadilishwa jina na uraia na anakula maisha kama kawa
 
Ok.. ngoja niingilie kati kabla halijaenda mbali na kuwapa Exclusive News tena:

a. Balali amefia nyumbani kwake Georgetown, karibu kabisa na hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown. Amefia nyumbani siyo State ya Wisconsin.

b. However hospitali hiyo upande wake mmoja kuna mtaa wa Wisconsin.

c. Mtaa wa Wisconsin ndiko iliko nyumba ya maziko ambako mwili wake umehifadhiwa. Hivyo siyo State ya Wisconsin.

Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.

Kwa hiyo kama kafia nyumbani kwake...Alipopelekwa huko hospital/funeral home ambako ni karibu na nyumbani kwake alikuwa keshafufuka ama?

Maana watu hawapati ripoti ya kifo toka hapo hospital wala funeral home!

Unless alifufuka kabla hao watu wa hospital/funeral home hawajaripoti hicho kifo chake kilichotokea nyumbani!

Ama ni nyumba ya maziko iko karibu na university hospital at the same time karibu na nyumbani kwake!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom