King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,056
- 98,277
Hahahahahaaaa noma sana.
maisha kwa kweli,sasa na yeye alibaka mara mbili,huko nje alikosa?hata kama ni kweli walitakiwa wayamalize kifamilia,kuna wajomba wa flora wana njaa sana,naona Gwajima kawaahidi mabenzi ndo maana wamekwenda mahakamani,pole mbasha
Huu ushauri wako ni mzuri sana ila mimi nasikitika wapo watu wanashauri humu hawana ndoa hivyo uzoefu mdogo!Ni kweli hata kama mke anatoka nje ya ndoa,hakumpi ruhusa mwanaume kutembea shemeji yake,ila kwa vile yalishatokea,MSAMAHA ILIKUWA NI LAZIMA.Nilikuwa na admire ndoa yao,kazi ipo
Jambo la Kushangaza ni kwamba Emm anamtuhumu Flora Kutembea na Gwajima lakini mke wa Gwajima hajakimbia !!Huyu mwanamke flora ni mshenzi...kwanza kamkimbia mumewe na kuishi hotelini...km sio ufuska ni nini...hana kwao.?? Kazaliwa hotelini..hii issue ilipangwa...mimi ht mume wangu abake simpeleki police cha moto atakiona humo humo ndani...haya mambo wangeyamaliza kifamilia...hana uchungu na mumewe..na anamtesa mtoto kisaikolojia...nimemchukia sana flora
We huono Ushenzi wa Emma kuzini na shemeji yake baada ya kumkosa Flora??Huyu mwanamke flora ni mshenzi...kwanza kamkimbia mumewe na kuishi hotelini...km sio ufuska ni nini...hana kwao.?? Kazaliwa hotelini..hii issue ilipangwa...mimi ht mume wangu abake simpeleki police cha moto atakiona humo humo ndani...haya mambo wangeyamaliza kifamilia...hana uchungu na mumewe..na anamtesa mtoto kisaikolojia...nimemchukia sana flora
Jambo la Kushangaza ni kwamba Emm anamtuhumu Flora Kutembea na Gwajima lakini mke wa Gwajima hajakimbia !!
Hapa yapo matatizo mengi wala huwezi kumulaumu kuwa huyu ni fusika au huyu amebaka hapo Roho ya Zinaa imetawala kwnye ndoa hiyo.
Ni roho hii ya Zinaa inawamaliza hata wanasiasa!!
Unakumbuka picha picha za Uchafu wa Mbunge fulani ??
Unafikiri mkewe hajaona??
Sasa ni kwa nini Mke huyo hajakimbilia hotelini??
Hapo inatakiwa Emm na Flora wote warudi Nyumbani na kuacha kutumia media kutatua tatizo hilo na wala sisis hatuwezi kuwalaumu kwa Zinaa yao kwa kuwa hata sisi ni watuhumiwa!!
Inatia uchungu kwa kweli, ndio maana wahenga walisema mke sio ndugu yako.
Nyumba yoa ipo Tabata na hakuna anayeishi humo wote wamepepetwa na roho ya zinaa ambayo ndo adui mkubwa wa Ndoa hapo huwezi kumulaumu mtu juu ya Suala hili , tumeshuhudia ndoa kusabaratika na dawa ya hawa si kulaumina bali kusameheana warudi wote Tabata kujenga ndoa!!Niliandika usaliti wa flora mbasha kwa mumewe,mjinga mmoja akanivaa na kunipeleka puta akidai naingilia ndoa ya watu eti siku wakipatana nitaaibika,sasa mbasha yupo selo huku mkewe akila bata hotelini,eti alichangiwa mil 9 na waumini,jamani hilo kanisa liko wapi na sisi tukalie shida tupewe mapesa,flora kamfunga mumewe,ni mdogo wake na yule mfanyakazi feki wa ndani ndo walienda hosp na baadae police kumshtaki mbasha kwa baraka zote za flora,tukio ambalo flora alikuwa na uwezo wa kuzuia lisitokee na kisha kumalizwa kifamilia hata kama kweli alitenda,lakini kwa kuwa flora hamtaki tena mumewe kamchoka na ana bwana mwingine,ndo maana mbasha ameenda jela,ni mara nyingi sana mbasha alitaka kuonana na mkewe wayamalize ila kwa kuwa kanogewa kuliwa tigo hakutaka kumuona mmewe,hao ndo wanawake ambao ni chanzo cha dhambi na mauti duniani,ni rahisi sana kutajirika lakini si kumpata mke mwema anayependeza mbele za macho ya MUNGU,tusubiri pigo atakalopata flora kwa ushenzi wake.
Kosa la ubakaji huwezi kumaliza kifamilia kwa kuwa ni kosa la jinai!!
Labda wange munyamazisha aliye bakwa !!
Je ungekuwa wewe umebakwa ungekubali kunayamza??
Hakuna zinaa isiyo na walakini tangia agano la kale!!Ndio...ndo maana ktk ndoa..busara, hekima na uvumilivu utumike ndoa nyingi sana haya yanatokea ila yanatatuliwa...kwa kifupi ni kwamba hawa wameweka mambo yao kwa media badala ya kuyasolve kibusara...simtetei mbasha km kweli kabaka anastahili adhabu lkn jinsI hili jambo lilivyokuja linaonyesha kuna walakini