Tabata ni sehemu maarufu sana kwa wakazi wa Dar es Salaamu, chaajabu eneo hilo haliendani kabisa na jina lake maana kuna kero kubwa ya barabara.
Mfano mimi naishi Tabata kisiwani, barabara ni kero sana hasa wakati wa mvua.
Najua wengi wameliongelea hili swala lakini mabadiliko hakuna kabisa, sasa najiuliza uongozi huwa hawalioni hili au ndo kusema wanatudharau sisi wapiga kura wa Tabata?
Hivi mvua zikianza maji yanajaa kuanzia daraja la pale mwananchi communication hapapitiki na hatuoni mabadiliko kabisa.
Soma pia