Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hakuna zinaa isiyo na walakini tangia agano la kale!!
Kama umeolewa , unaweza kuwa jasiri na kusema kuwa hujawahi kupata matatizo au katika ndugu zako hili ni jambo mpya??
Yapo mambo ,mazito kuliko haya na mbele za Mungu hakuna jambo zito la Kumsinda Mungu!!
Hapo utaona kwamba ndoa hiyo imeingiliwa na pepo la Zinaa kila mtu anafanya zinaa!! Flora anafanya zinaa , Emm anafanya zinaa sasa nani wa kumulaumu??
Je Ungekuwa wewe ni binti aliyebakwa na Emm unge msamehe na kuendlea kuishi humo??
Je, Bint huyo angekuwa nduguyo ingekuaje??
Unamkumbuka bint Kapuya??

Watu tunasamehe mpk dhambi ya kuua ndo itakua ya kubaka...hakuna haja ya kuhukumu...Mungu ndo hakimu wa yote...mimi ningemwachia Mungu na hakika angepata stahili yake....
 
Dah!inamaana jamaa na jila lote kishindwa kupata mtu wa kumdhamini
Inaonekana alikuwa haishi na watu vizuri huyo dogo mil tano anakosa imekula kwake acha sasa mzee gwajima ajilie vyake

Alikamatwa kama anatekwa nyara. Kimyakimya, aliyekuwa akijua ni Mzee wa Hammer na waandishi wake kama Makongoro Oging' wa magazeti ya Shigongo na wale waandishi wa gazeti la Mwananchi. Walipanga kuficha taarifa hizo hadi apande kizimbani na kuswekwa rumande kwa kukosa dhamana.
Na sasa Flora ndio ameshamia kwa Mzee Hammer kwa kisingizio cha kuvamiwa usiku nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Ova
 
Mimi si shabiki wa yeyote lakini roho yangu inakua ngumu kuamini kuwa dogo alifanya hio kitu....
 
Lazima huko naye wataenda kumuonja tu anadhani kubaka ni dili basi.

Ipo siku Gwajima naye atalipa hadi tone la mwisho kwa uovu anaoutenda. Ni mmoja tu asiyedanganya wala kudanganyika, Alfa na Omega; mwanzo na mwisho atakayelipa kisasi. Shame on Gwajima and accomplices!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwahiyo flora ameshindwa kumuwekea mdhamana Mme wake ama kweli ndoa ndoana
 
Mimi nashauri yafuatayo:
1.Hakuna aliyejuu ya Sheria Kwa maana kwamba kama kweli Emmanuel Mbasha alifanya zinaa na Shemeji mtu au alifanya Ubakaji basi upelezi ufanyike na sheria ichukue Mkondo wake

2.Mimi ninaamini kabisa kuwa Mch Gwajima hayupo vizuri na serikali iliyopo madarakani kwa Ushahidi wa Msimamo wake hivyo hawezi kuingilia polisi wala vyombo vya dola ni sawa na mtu anataka kutuaminisha kuwa ati Slaa amehonga polisi wakati siku zote Slaa anapingana na rushwa iliyopo Polisi
3.Makosa ya Gwajima Kufanya zinaa na Flora yatolewe Ushahidi n Emmanuel anaweza kutumia hoja hiyo kumshitaki kwenye Vyombo vya sheria vinavyo husika! Hatuwezi kumtetea Mch Gwajima kwa Hata Mfalme Daudi alifanya makosa hayohayo.
Ni jambo la Kuchekesha na la Kipumbavu ati kwa Kuwa Flora anafanya Zinaa na Gwajima basi Emmanuel Mbasha afanye Ubakaji au Zinaa na Shemeji yake hapa ni sawa na kuruka....... na kukanyaga ......
Kama kweli Emma Kafanya zinaa na Shemeji yake basi Sheria ichukue mkondo hatuwezi kumutetea na K ama Gwajima naye anafanya Zina na Flora Sheria Ichukue Mkondo wake hatuwezi kumutetea.
4. Watu wengi humu wanajenga hoja kuwa Emm Kaonewa je huyo binti kafanywa nini ?? Matukio ya ubakaji yanazidi kuripotiwa kwa watoto nani mtetezi wao??
Ililetwa hapa picha ya Angel Dushima ikidaiwa kuwa ndo ya Esther aliyebakwa hivyo navyo ni visa vya kuficha uongo:
Jambo la kushangaza hata The Bold anayemfahamu Esther alinyamaza kimya na jukwa zima likadanganywa!
5.Tuache ushabiki bali tujenge hoja, ili ukweli uwe wazi na amani ipatikane

Alinayedaiwa kubakwa haitwi Esther, kama kitu hujui uwe unauliza au ukae kimya. Aliyedaiwa kubakwa anaitwa Yerusalemu.
Ova
 
Masikini baba wa watu, wenye hela wamemsababishia majanga na tatizo ni mke wake mwenyewe wa ndoa, ona sasa anapelekwa lock-up!

Hakika kama kuna uonevu katika hili basi MUNGU akafanye kitu!!

Mke ndo alimuagiza abake ama vipiii sielewi??????
 
Uchangiaji wako wa mwanzo ulikua biased na wa kishabiki mpaka nikajua wewe ni mfuasi wa gwajima. Hapa naona umechangia kwa busara kidogo. Kudos!
Jambo la Kushangaza ni kwamba Emm anamtuhumu Flora Kutembea na Gwajima lakini mke wa Gwajima hajakimbia !!
Hapa yapo matatizo mengi wala huwezi kumulaumu kuwa huyu ni fusika au huyu amebaka hapo Roho ya Zinaa imetawala kwnye ndoa hiyo.
Ni roho hii ya Zinaa inawamaliza hata wanasiasa!!
Unakumbuka picha picha za Uchafu wa Mbunge fulani ??
Unafikiri mkewe hajaona??
Sasa ni kwa nini Mke huyo hajakimbilia hotelini??
Hapo inatakiwa Emm na Flora wote warudi Nyumbani na kuacha kutumia media kutatua tatizo hilo na wala sisis hatuwezi kuwalaumu kwa Zinaa yao kwa kuwa hata sisi ni watuhumiwa!!
 
Kama The Bold ndiye mbasha ...ina maana the bold yupo selo sasa...aiseee The Bold pinga hili kwa kukoment hata mara moja
 
Kwahiyo flora ameshindwa kumuwekea mdhamana Mme wake ama kweli ndoa ndoana

sasa mbasha ndiye aliyekuwa anashikilia account ya Flora ambayo hadi anasepa ilikuwa na 50 mil. (Flora amesema) unategemea Flora atoe wapi hiyo hela ya dhamana....
 
Ipo siku Gwajima naye atalipa hadi tone la mwisho kwa uovu anaoutenda. Ni mmoja tu asiyedanganya wala kudanganyika, Alfa na Omega; mwanzo na mwisho atakayelipa kisasi. Shame on Gwajima and accomplices!


Sent from my iPhone using JamiiForums

kama hajatenda haya maneno yakurudie ww na uzao wako wote... kama ametenda yampate Gwajima...ila yasiende bila kumpata mtu
 
mbaya wako siku zote ni mtu wako wa karibu. Huyu kijana wanamfunga watu wa karibu yake sana. Kisha mkewe wamtafune yeye akiwa sega dance. Dah,siku ya hukumu Mungu ana kazi nzito!
 
Alikamatwa kama anatekwa nyara. Kimyakimya, aliyekuwa akijua ni Mzee wa Hammer na waandishi wake kama Makongoro Oging' wa magazeti ya Shigongo na wale waandishi wa gazeti la Mwananchi. Walipanga kuficha taarifa hizo hadi apande kizimbani na kuswekwa rumande kwa kukosa dhamana.
Na sasa Flora ndio ameshamia kwa Mzee Hammer kwa kisingizio cha kuvamiwa usiku nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Ova

hehehe duh jamaa ni mtunzi kama Erick Shigongo
 
Mdakuzi ww ndio kilaza...anaitwa Esther aisee
acha kubisha kijinga wewe. Wewe jina esther umelisikia kwenye ile clip. Na kwenye clip esther alikua anahadithiwa kilichotokea.
 
Alikamatwa kama anatekwa nyara. Kimyakimya, aliyekuwa akijua ni Mzee wa Hammer na waandishi wake kama Makongoro Oging' wa magazeti ya Shigongo na wale waandishi wa gazeti la Mwananchi. Walipanga kuficha taarifa hizo hadi apande kizimbani na kuswekwa rumande kwa kukosa dhamana.
Na sasa Flora ndio ameshamia kwa Mzee Hammer kwa kisingizio cha kuvamiwa usiku nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Ova
Tangu lini Gwajima akawa rafiki na POLICE na Watawala wa CCM?
 
Back
Top Bottom