Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Usichanganye zinaa na ubakaji, ongea kitu kimoja, zinaa sio kosa kisheria bali kubaka ndio kosa
Mimi naongolea zinaa , ambapo zinaa ikifanyika na mtoto ni kosa na inapofanyika na mtu mkubwabila ridhaa bado ni kosa
 
Mh Mwamakula mara nyingi serikali inapoteza kesi ktk mazingira km haya ili mtu aweze kutiwa hatiani kwa ubakaji kuna elements ambazo ni lazima zitimie ambazo ukiangalia huwezi kuziona!Hata akihikumiwa na mahakama hii atafanikiw ktk rufaa!Hayo mambo ya pre-conceived ndio hayatakiwa ktk mahakama!!!!!


Sent from Banet Iphone!!
 
Huyu jela inamhusu kwa ushahidi wa mawasiliano yake na binti muathirika ulioletwa hapa jamvini.
 
Hebu tuondolee kichaa chako mwanaharamu mkubwa wewe. Haya unayoongea, hopefully wewe Ni mke wa Gwajima, ni sawa na kutuambia kuwa jua linawaka usiku na giza liko mchana.

Gwajima anauza unga, Gwajima ni mzinzi wa kitaifa, kama Kuna mashindano ya uzinzi inatakiwa watanzania tumpeleke atuwakilishe kidunia. Haiwezekani unogewe na zinaa kiasi cha kuamua kujimilikisha mke wa mtu

Mbasha naye anavuna alichopanda, ukishajifungamanisha na magamba CCM lazima mwisho uwe mbaya, simuhurumii hata kidogo.
Mkuu Gwajima sio Mzinzi wa kimataifa labda hujapata hii trend:
1.Mwigulu Nchemba kule Igunga
2.Cpt Komba ushahidi upo hadi leo
3.Mh Festo Limbu ameibiwa Shs9,000,000 Dodoma baada ya makahaba kuweka drugs kwenye sehemu nyeti kesi imezimwa Dodoma
4.Pro. Juma Kapuya
5.Amatus Luhumba
6.Ndoa ya akina Kamata imeshindikana kwa sababu ya uzinzi huku Wana CCM wakimupokea kwa shangwe Dodoma hoteli baada ya tukio hilo
7.
8.
 
nakumbuka akiwa na mke wake waliimba wimbo wa MUNGU atakafanya njia...nadhani ni wakati wake...kuamini alichokiimba na kukiweka katika matendo...

mchungaji abiudi aliimba....simama mwenyewe BWANA....
 
SWALI LA MSINGI KATIKA UBAKAJI NI KWELI JAMAA ALIBAKA SHEMEJI MTU NA HOUSE GIRL???Haiji akilini hata kidogo wajuzi wanadai alikua ana mahusiano na shemeji yake kama alikua na mahusiano ni kwamba shemeji aliridhia mahusiano hayo..!!!!sasa nini maana ya kubaka?????

Hapo unatakiwa kupata umri wa shemeji mtu, kama wameona kuwa ana umri chini ya 18 hapo ni ubakaji hata kama kulikuwa na ridhaa!!
Lakini ni kwa nini Emm abake Shemeji mtu na Housu girl? au afanye zinaa na watu wote wa ndani?? hata kama kuna ridhaa kuna akili kweli hapo au banngi?
 
Ajabu, kwa sasa ameshitakiwa kwa kubaka watu wawili. Mfanyakazi wake na shemeji yake. Hizi ndio kesi za kupikwa na wenye hela ili kuwanyang'anya wanyonge haki zao.
Ova

kama hujui mambo ya kesi yalivyo bora ukae kimya. huyo binti ni shemejiye na alikuwa mfanyakazi wake pia. kinachokushangaza ni nini?
 
Haya makanisa haya?. Mimi galfrnd wangu aliniambia alishikwa makalio na mchunhaji mmoja maarufu sana hapa dsm..nikampiga stop ikawa mwisho wa kwenda kwenye mwbezi...
Sali ulipo tuachane na hawa wafanyabiashara.

Huyo aleadimit kama alishikwa masabuli aka makalio jua kuna jambo ila tu amemua kuliweka bayana kiutuuzima hahahaha
 
Nje ya mada kiduchu hivi wakuu masharti ya dhamana lazima mdhamini mmoja awe mfanyakazi wa serekali kama huna rafiki anayefanyakazi serekali ndio hivyo tena nadhani wakati ufike haya masharti ya dhamana yaangalie hali halisi na si kuingiza masharti ya mwaka 47.

Copy Pasco

udhaminiwe na mtu baki, kama mtuhumiwa akitoroka utampata wapi huyo mdhamini?
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa, nashangaa hii ishu namna Flora alivyoipeleka mpaka ikafika hatua hii.

Amejiaibisha yeye, Amemwaibisha mume wake, Familia yake, wazazi wa pande zote, Washenga

Hana tofauti na Wema Sepetu anaetafuta kiki ya media
 
Mwamakula hoja zako bhana Mmmmmmmh!


Ina Maana ktk hili swala na CCM wanahusika?
 
Last edited by a moderator:
nawasikitikia watoto wao kama wapo wahesabu wamekula hasara hamna wazazi hapo.
 
aiseee... mbona hakuna hata picha moja wakiwa mahakamani...kila gazeti imetumia chanzo hiki hiki... nahitaji kujua ukweli wa taarifa hii
 
Mume au Mke akishakufikisha mahakamani ukatupwa lupango ndiyo mwisho wa ndoa.....!
Hapo kamwe ndoa haipo tena...!

Hongere Flora kwa kufanikisha hilo.
Ila kumbuka wazuri wanazaliwa kila kukicha....Jamaa atakucharaza atakuchoka na atakutupa kule na kuvuta kifaa kingine.
Leo utasimama wapi na umuimbie nani kwa issue kama hii? utaishia kupigwa mawe tu.
Haya tusubiri:der:
 
Kama ni kweli alifanya hivyo hawezi kukwepa,lakini kama ni uongo tu wa kusingiziwa Mungu atasimama,atamsaidia.
 
Back
Top Bottom