Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Nimeangalia ITV, wanaTUNDUMA wakisema, ahutubie, asihutubie, kura zao anazo!

LOWASSA! WATANZANIA WAMEKUPA DHAMANA YA KUWAONGOZA, USIWAANGUSHE!

Mungu atujalie hekma na maarifa. Mungu unasema watu wangu wana pata shida kwa kukosa maarifa jamani km ccm hatuitaki tumpe hata Hashim Rungwe tu basi! Ila hawa jamaa km wataingia madarakani hivi nadhani tuwe serious na taasisi hii.
 
Kwani unataka uambiwe nn uridhike?
Tatizo kuwa kuridhika mnachotakiwa kusema ukweli siyo kuja na sababu za kitoto kuwa Lowassa kashindawa kuhutubia sababu ya vyombo, Mbowe yeye alikuwa anawafahamisha watu kupitia vyombo gani?
 
Uwa nakuonea sana huruma najua utakimbia jukwaa kuanzia tarehe 27.

Lowassa hawezi kuwa rais mkuu utajiumiza bure moyo wako.

Takukumbusha lakini usije na sababu kuwa wameiba kura.
Nani anakudanganya kuwa CCM itaiba kura na ikabaki salama mwaka huu? Haya tusubiri. Tuone nani ataikimbia JF!

Lowassa lazima awe Rais wa Tanzania baada ya Jakaya!
 
Nyie wapuuzi mmeshashindwa kabla ya uchaguzi!

Hapo nimetoa mfano tu! Si mnamuita LOWASSA mgonjwa na kumtukana kila aina ya matusi? mbona bado yupo?
Na hao mnawaona kuwa ni wazima ndio wanatangulia mbele ya haki! Jifunzeni hili wapuuzi nyie! vinginevyo mtamtafuta mchawi na msimpate!

kula like bukumbili unusu
najiuliza kwanin magamba haya jifunzi yaan unaweza hata mkufur mungu wako aisee
 
Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi

Wamesahau mgombea wao alivypoteza sauti mitaa fulani.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kuwa kuridhika mnachotakiwa kusema ukweli siyo kuja na sababu za kitoto kuwa Lowassa kashindawa kuhutubia sababu ya vyombo, Mbowe yeye alikuwa anawafahamisha watu kupitia vyombo gani?

Labda lowasa anavyombo vyake?,ccm imewashika pabaya mwaka huu

Viva magufuli vivaaa
 
hawafao haoo ukawa, ni muendelezo wa maigizo yao

Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.
 
Wadau
Kwenye taarifa ya habari ya leo I TV. ...saa mbili. .ukawa wamelazimika kuahirisha mkutano kutokana na vipaza sauti kuwa vibovu. ..hii wadau imekaaje. ..nimefikiria sana shida ni nini;.... .nani hakuwajibika na nini kifanyike ili hii changamoto na aibu isijirudie tena. ...karibuni kwa michango ya kujenga kwa team ya campaign ya ukawa dakika hizi za lala salama.

Viongeza sauti vilikuwa saaaafi kabisa na hata Mbowe amevitumia kuongea tukamsikia vizuri tu. Tatizo choo ilikuwa haipo maeneo hayo. Wapi white hair angefanyiwa usafi kama anavyoendelea kusafishwa kuhusu ufisadi!!!
 
Ukawa hawafai, hawajitambui, wanadhan wanaweza pewa dhamana ya nchi kimaigizo.
 
12105725_720369238094878_6499237189801155401_n.jpg
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.

Haya....
 
UKAWA sasa wamebakia na visingizo kila kukicha. Walianza na kulinda kura, haikufua dafu, sasa eti hitilafu kwenye vyombo. Sasa huyo Mbowe alitoaje taarifa kwenye vyombe hivyo hivyo vyenye hitilafu?

Hapo sasa

Hivyo vyombo alivyotumia Mbowe vilikuwa ni vya kwenye gari la PA.
 
Back
Top Bottom