Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

chief, sisi wote tumetambua what you're trying to drive at.

listen, chief, and listen good. priority ya kwanza kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni kuiondoa CCM madarakani. priority ya pili ni hiyo hiyo. na ya tatu, ya nne, nk, nk.

whether UKAWA na mgombea wao watafaa kama mbadala ama la, that's only a side show to the bigger picture of kicking the monster off the corridors of power. period.
Think twice bro it's not simply as u think
 
hatuzungumzii kufa tnazungumzia ugonjwa kuhudumiagonjwa wakipindupndu na kuosha mait aliyepata ajali ipi nikazi hatar zaid kwamfanyaji? ni ahad aijalsh mzma au mgnjwa lkn kz yyote kabla yakuajiriwa lazma ukafnyiwe vpmo vya afya je utaimudu vp lowasa Taweza kuhtbia bunge,kukagua gwarde,vp kuhusu kuttmeka atawza kutia sahn,kumbukumbu je? nakujinyea nako!
Maskini JF ndio imekuwa na wachangiaji wa namna hii? Kweli hakuna makali yasiyo na ncha!
 
Sasa unataka kusema nini?
Unajua ni gharama kiasi gani wameingia kupoteza mkutano wa leo na kuurudia kesho?
Acha utaahira tumia akili hata ya kuvalia nguo.

kuna hela yoyote uliyochangia?sisi tuliochangia hatuoni hasara wewe inakuuma,nini acha wivu na umbea
 
Mbona Mbowe kahutubia vizuri na watu walikuwa wanamsikiliza, kulikuwa na tatizo gani Lowassa angetumia microphone za Mbowe si uwa anahotubia dakika chache tu...Chadema kuweni wa kweli tatizo nini?
 
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.

Samahan
Ulijaribu kumkagua kwenye suruali yake.....au tayari aliluwa ameshafanya yale mambo ya geita!!!?
 
Hebu acheni huu ujinga wenu! Haya tuseme kashindwa kwa ajili ya ugonjwa! Kuna mwenye uhakika wa kuamka kesho?

Mzee KIKWETE alifika mbali zaidi na ugonjwa wake mpaka akadondoka wakati akihutubia jangwani! Lakini si ndio sisi tulimuweka madarakani? Acheni huu upuuzi wenu wa kushabikia ujinga.

Mmesahau hivi majuzi tu KIKWETE ametoka marekani kutibiwa kansa?

LOWASSA ndiye Rais ajaye! Wapuuzi nyie!
Naona unapanic bure tu wapi nimesema Lowassa mgonjwa?

Mie nimeuliza kama vyombo vilikuwa na tatizo kwa nini asitumie ile microphone alikuwa anatumia Mbowe au wale wasanii mbona wao tulikuwa tunawasikia?

Mambo ya kansa sijui ugonjwa wa JK mie sipo huko kama aliumwa akatibiwa hamna tatizo.
 
Back
Top Bottom