Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.


UPDATE 1
--------

Mbeya Vijijini eneo la Mlima reli Mbalizi walijenga na jukwaa, eneo lenye baridi kali, baadhi ya vijana wamelaa uwanjani, asubuhi hii watu wanakusanyika wameambiwa mkutano hautakuwepo!
 
CHADEMA we are sick and tired of ur drama.
U r to be ignored.
 
Kwahiyo unataka tukusaidieje?

Cha kukusaidia, nenda kesho saa tatu!
 
Mi sijaelewa hata unazungumzia nini naona umeandikia mwenyewe na kujijadili mwenyewe!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Yaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.

Asante mwalimu. Leo nimejifunza neno jipya ; collapsion.
 
Kuna kapropaganda unachotaka kukaeneza hapa,lowassa ndiye sahihi.
 
Hiyo ni janja ya nyani kula hindi bichi, mbona Mhe Mbowe kasikika wakati anaongea? Iweje Mhe Lowasa ashindwe? Ebu tuwe wakweli ktk hili, mzee kachoka inabidi apumzike kwanza-kisa uchovu.
 
Nimeambiwa huko Tunduma wananchi walipigwa butwaa baada ya kuona Lowassa anasaidiwa kupanda ngazi..

Ameshindwa kuhutubia kutokana na afya yake kutokuwa nzuri...
 
Show Inapigwa Kesho Kama Kawa!! Eti CCM Wameweka Misumali Na Misukule Yao! Duuuhh!! Kila Jitihada Za Kiufundi Zimegoma Kabisaa!!!
 
Mhusika wa kampeni za Chadema hajajipanga kabisa... kwanini vifaa visifanyiwe testing mapema?
Sasa kesho mnadhani watu wataenda kama walivyoenda leo?

Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi
 
Last edited by a moderator:
nimeona na kusikia channel 10 vyombo vimebuma kesho saa tatu ataongea , ni kweli kwa umri na afya yake na kwa ukubwa wa mkutano hangeweza kuhutubia bila vyombo. Huu uzi uunganishwe kwenye uzi wa mkutano tusijaze seva
 
Hahahah ukiona watu kuanzia watatu hawakuelewi basi jitafakali
 
Back
Top Bottom