Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Kama hukuwepo basi ungeangalia ITV ungepata kujua kilichojiri. Sauti ilikuwa haitoki vizuri. Na mwisho ni lazima utofautishe nguvu aliyotumia Mbowe kuuelewesha umma Lowasa asingeweza.
Sauti ya Mbowe ya kukwaruza ....inaonekana ina uchovu na viroba labda, but Lowassa angewa tumia..coz sound setting kwa Mic kit inhekuwa tune poa mambo yangeendelea.....sitaki kama ya Zambia kwa satta, ndio maana nimeuliza....