Wewe mwenyewe hapo mgonjwa na marehemu mtarajiwa.
Ni kweli,lakin nisingedanganya uongo wa kitoto kuwa eti nimeshindwa kuhutubia kwa sababu ya vyombo wakati ni ugonjwa,ningewaambia waniombee samahani na kuwataarifu kuwa leo mgombea wetu anajisikia vibaya,ni binadamu hivyo anaugua, hivyo ningewaomba wanivumilie nikapate dozi kisha kesho inshallah tuonane asubuhi,simple!