Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Kwani Mbowe kaongea kupitia vyombo gani pale kwenye mkutano.
 
Naona unapanic bure tu wapi nimesema Lowassa mgonjwa?

Mie nimeuliza kama vyombo vilikuwa na tatizo kwa nini asitumie ile microphone alikuwa anatumia Mbowe au wale wasanii mbona wao tulikuwa tunawasikia?

Mambo ya kansa sijui ugonjwa wa JK mie sipo huko kama aliumwa akatibiwa hamna tatizo.
Mkuu sio kila Mic inatumika tu kienyeji enyeji. Lowassa ni mtu makini anaye jua njama zote za CCM. Mchezo wa kutumia vitu ambavyo havija kaguliwa huwa haturuhusu kwa Lowassa. Mtasema kila kitu lakini msimamo utabaki pale pale.
 
Haya, Ngoja nikupe ukweli sasa LOWASSA ni "mgonjwa" na alishindwa kuhutubia kwa sababu alizidiwa ghafla.

Lakini ndio Rais wako huyo! Jiandae kisaikolojia! Kuwa na Rais mgonjwa si "SUNNA?"
 
If that's gonna help kick out this asshole so called ccm, we don't give a f***
 
Hiv si wamefanya harakat za kuleta vyombo vingne bado vikaendelea kusumbua????ila hilo halitufanyi tusimwone kuwa anafaa kuwa kiongoz mkuu wa nchii hio
 
Hii ni mara ya ngapi kukimbia watu?
 
Nafikiri leo umejifunza siku nyingine hutarudia kuandika haya uliyoyaandika humu
 
Mbona Mbowe kahutubia vizuri na watu walikuwa wanamsikiliza, kulikuwa na tatizo gani Lowassa angetumia microphone za Mbowe si uwa anahotubia dakika chache tu...Chadema kuweni wa kweli tatizo nini?

Kwani unataka uambiwe nn uridhike?
 
Mbona Mbowe kahutubia vizuri na watu walikuwa wanamsikiliza, kulikuwa na tatizo gani Lowassa angetumia microphone za Mbowe si uwa anahotubia dakika chache tu...Chadema kuweni wa kweli tatizo nini?

Inafurahisha kamanda unafuatilia makamanda. Jumapili kula buku 7, kura kwa Ngoyai.
 
Mkuu sio kila Mic inatumika tu kienyeji enyeji. Lowassa ni mtu makini anaye jua njama zote za CCM. Mchezo wa kutumia vitu ambavyo havija kaguliwa huwa haturuhusu kwa Lowassa. Mtasema kila kitu lakini msimamo utabaki pale pale.
Kwa hiyo microphone aliyotumia Mbowe Lowassa marufuku kuitumia sababu aijakaguliwa?
 
Haya, Ngoja nikupe ukweli sasa LOWASSA ni "mgonjwa" na alishindwa kuhutubia kwa sababu alizidiwa ghafla.

Lakini ndio Rais wako huyo! Jiandae kisaikolojia! Kuwa na Rais mgonjwa si "SUNNA?"

Lowassa Kwisha habari yake.
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Inaonyesha mwalimu wako alipata tabu sna kukuelimisha
 
Mleta uzi Maudhui ya swali lako na kutaka watu wajadili ilishaeleweka mapeeemaa ila kwa bahati mbaya umekutana na vichwa vigumu kukuelewa.

Nia yako ilikuwa hii...

Kujadili Udhaifu wa afya ya Mh Lowasa na jinsi mkutano ulivyo hairishwa kana kwamba Mheshimiwa ni mtu mkubwa so wasingeweza kusema mheshimiwa anaumwa na kazidiwa bali waseme vyombo vimeharibika.....

Imekula kwako Daaah nakuonea hadi huruma.
 
Haya, Ngoja nikupe ukweli sasa LOWASSA ni "mgonjwa" na alishindwa kuhutubia kwa sababu alizidiwa ghafla.

Lakini ndio Rais wako huyo! Jiandae kisaikolojia! Kuwa na Rais mgonjwa si "SUNNA?"
Uwa nakuonea sana huruma najua utakimbia jukwaa kuanzia tarehe 27.

Lowassa hawezi kuwa rais mkuu utajiumiza bure moyo wako.

Takukumbusha lakini usije na sababu kuwa wameiba kura.
 
Back
Top Bottom