Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.


Halafu anaesema vyombo vimeharibika anatumia vyombo hivyo hivyo. Majanga!
 
Ukawa semani kweli kwa nini Lowassa ashindwa kuhutubua kama Mbowe kaweza kuhutubia kwa nini asitumie hizo microphone alizokuwa anahutubia Mbowe.
Hebu acheni huu ujinga wenu! Haya tuseme kashindwa kwa ajili ya ugonjwa! Kuna mwenye uhakika wa kuamka kesho?

Mzee KIKWETE alifika mbali zaidi na ugonjwa wake mpaka akadondoka wakati akihutubia jangwani! Lakini si ndio sisi tulimuweka madarakani? Acheni huu upuuzi wenu wa kushabikia ujinga.

Mmesahau hivi majuzi tu KIKWETE ametoka marekani kutibiwa kansa?

LOWASSA ndiye Rais ajaye! Wapuuzi nyie!
 
Tatizo ni viongozi wa UKAWA kuficha ukweli!!!! Baaasiii!! Waweke mambo bayana ili watanzania wajue. Lowassa ni dhoofu lihali
 
Nyie wapuuzi mmeshashindwa kabla ya uchaguzi!

Hapo nimetoa mfano tu! Si mnamuita LOWASSA mgonjwa na kumtukana kila aina ya matusi? mbona bado yupo
Na hao mnawaona kuwa ni wazima ndio wanatangulia mbele ya haki! Jifunzeni hili wapuuzi nyie! vinginevyo mtamtafuta mchawi na msimpate!

hatuzungumzii kufa tnazungumzia ugonjwa kuhudumiagonjwa wakipindupndu na kuosha mait aliyepata ajali ipi nikazi hatar zaid kwamfanyaji? ni ahad aijalsh mzma au mgnjwa lkn kz yyote kabla yakuajiriwa lazma ukafnyiwe vpmo vya afya je utaimudu vp lowasa Taweza kuhtbia bunge,kukagua gwarde,vp kuhusu kuttmeka atawza kutia sahn,kumbukumbu je? nakujinyea nako!
 
Last edited by a moderator:
duh nimecheck picha ya mwanza leo yale mafuliko ya kubumba nimecheka sana aisee hata aliye edit kajisahau maana katikati ya kundi lawatu wengine wamegeuziwa upande ambao utadhan kulikuwa na majukwaa tisa aisee ! ni sheeeda
 
Ndio, ni kweli, Lakini tutamchagua huyo! Jiandaeni kisaikolojia wapumbavu nyie!

KIKWETE alikuwa mgonjwa mpaka akaanguka jukwaani lakini tulimchagua!

Kama hiyo haitoshi akapatwa na kansa ya korodani tukamtibu marekani kwa kodi zetu, sasa sijui kwanini mnanyanyua midomo kama mashankupe bila kutafakari!

Watanzania kumchagua Kikwete ilikuwa hakuna namna, safari hii hatutaki Rais mgonjwa atalitia hasara taifa!
 
Wadau
Kwenye taarifa ya habari ya leo I TV. ...saa mbili. .ukawa wamelazimika kuahirisha mkutano kutokana na vipaza sauti kuwa vibovu. ..hii wadau imekaaje. ..nimefikiria sana shida ni nini;.... .nani hakuwajibika na nini kifanyike ili hii changamoto na aibu isijirudie tena. ...karibuni kwa michango ya kujenga kwa team ya campaign ya ukawa dakika hizi za lala salama.
 
  • Thanks
Reactions: jmi
chief, sisi wote tumetambua what you're trying to drive at.

listen, chief, and listen good. priority ya kwanza kwenye uchaguzi wa mwaka huu ni kuiondoa CCM madarakani. priority ya pili ni hiyo hiyo. na ya tatu, ya nne, nk, nk.

whether UKAWA na mgombea wao watafaa kama mbadala ama la, that's only a side show to the bigger picture of kicking the monster off the corridors of power. period.

I salute you brother, lets get the *** out of our faces men!
Right moment, right person
We are damn fucking tired of ccm!!
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.

Kama unamhusisha mungu hapa katika mtazamo wako hasi nadhan itabidi ujichunguze maana yawezekana unaabudu mashetan sio mungu wa MEMA.
Rais wa nchi anapoongea lazima tuwe na uhakika kuwa kila mtu anamsikia kwa usikivu tulivu na usahihi, sasa kama mmeloga vyombo mjue ngoma iko pale pale, kesho saa tatu tena.
 
Back
Top Bottom