Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Fede Masolwa wana ukawa ni watu wanaohitaji msaada wa kuelimishwa taratibu. Viroba na bhangi zimewaharibu vichwa!!!! Twende nao taratibu watatuelewa tuu. Ni watanzania wenzetu hawa

Kweli mkuu nimekuelewea vizuri.
 
.....

.....Hatuungiungi nyomi !!!

attachment.php
Duh!Hii aibu sana!
 
Tumeshawambia miccm kama Lowasa mgonjwa basi ataenda kufia Ikulu ,yaani CCM iondoke tu ,hili halina mbadala ,tena msitegemee kama mnavyotaka ionekane kuwa Lowasa ni mgonjwa ndio mkaweka tamaa kama Maguguli atashinda ,hilo sahauni,tena nawaomba muanze kusahau tokea leo na muondoe katika vichwa vyenu kama magufuli atakuwa Raisi wa nchi hii kwa sababu Lowasa ni mgonjwa ,ili muepuke kupata maradhi ya msituko. CCM inaondoka tena inaondoka kwa aibu kuu haijawahi kutokea duniani na afrika nzima.

Weka akiba ya maneno, maana hata Seif wenu hapiti!
 
Km kweli unampenda Mungu ambaye anajua yako yote ya Rohoni,eleza ukweli wa mambo na cyo kupindisha hoja ili uonekane ni mkweli. Vifaa vilibuma wakati Lowasa anataka kuhutubia au wakati Masha anataka kuhutubia? Kwakuwa umesema unampenda Mungu na hupendi kumdanganya,SEMA UKWELI

Mbowe aliongelea miti au mic? na kuwatukana juu...
 
Nani anakudanganya kuwa CCM itaiba kura na ikabaki salama mwaka huu? Haya tusubiri. Tuone nani ataikimbia JF!

Lowassa lazima awe Rais wa Tanzania baada ya Jakaya!

Thubutuu,Ina maana bado hujastuka tu.Dr.JPM ndiye rais ajaye.Tena anaupata urais kiulaini mno,yaani jamaa kaokota dodo uani
 
Jiandae kutukanwa na wazee wa viroba.
 
poleni wakuu kwa kazi hii wanatunduma hii ni hali ya kawaida msivunjike moyo kesho mjitokeze kumpokea rais wenu mtarajiwa mh edward lowasa
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.

swali ni kwamba!:MBOWE na WASANII waliongea kupitia Vipza sauti vipi?
 
duh nimecheck picha ya mwanza leo yale mafuliko ya kubumba nimecheka sana aisee hata aliye edit kajisahau maana katikati ya kundi lawatu wengine wamegeuziwa upande ambao utadhan kulikuwa na majukwaa tisa aisee ! ni sheeeda

Umecheck picha kumbe, unataka live kabisa na picha...njoo hapa wataapss nikupe dawa 0715011406
 
Picha ni za zamani sana wakati bado mdogo
 
swali ni kwamba!:MBOWE na WASANII waliongea kupitia Vipza sauti vipi?
Ulimsikiliza Mbowe wakati anaongea?? Unajua position ya camera inayodai kuisikia kwenye video ilikuwa wapi??
 
Kama unamhusisha mungu hapa katika mtazamo wako hasi nadhan itabidi ujichunguze maana yawezekana unaabudu mashetan sio mungu wa MEMA.
Rais wa nchi anapoongea lazima tuwe na uhakika kuwa kila mtu anamsikia kwa usikivu tulivu na usahihi, sasa kama mmeloga vyombo mjue ngoma iko pale pale, kesho saa tatu tena.

Rais wa JMT sasa ni Kikwete, acha mbage na viroba...
 
hee! ame kigoda tena au ndo ule ukombani ulio mkutaga vitalu vya selou kitalu namba tatu?
 
Back
Top Bottom