Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Mwisho wa yote haya ni siku saba zijazo tuu,tutajua mzee wa push au mzee wa kujiny.....!
 
Hyo ndo Tunduma
 

Attachments

  • 1445227971782.jpg
    1445227971782.jpg
    32.9 KB · Views: 268
Bila ushabiki, Lowassa ni mgonjwa.

mwaka 2010 mlikuwa mnasema hivi hivi eti JK mgonjwa. akaingia Magogoni na hadi hii leo bado anadunda huku "wazima" wakiendelea kupigwa usafiri kwa kwenda mbele.

Lowasa anakwenda Magogoni mwaka huu na watu wengi (angalia usije kujikuta ni mmoja wa hao) wataendelea kupigwa usafiri huku Rais Lowasa akiwa fiti 2020 kwa ajili ya awamu ya pili.

don't go away...
 
Back
Top Bottom