Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Achen danganya toto nimemsikia mbowe kwa.masikio yangu,akitumia mic zinazosikika,kusema hazisikiki kwanba mgombea wao hatahutubia.waseme tu alipatwa na nini lowassa
 
Ukawa semani kweli kwa nini Lowassa ashindwa kuhutubua kama Mbowe kaweza kuhutubia kwa nini asitumie hizo microphone alizokuwa anahutubia Mbowe.
 
Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi

Nimemsikiliza Spencer kaielezea vizuri sana... hata Azam wameonesha vizuri kuanzia maduka kufungwa...
Watu ni wengi sama hadi raha, nimefarijika kwa kweli... watu walipoambiwa kesho atakuja walifurahia sana, so kesho saa tatu Raisi atapanda tena kwa mara ya pili
 
Last edited by a moderator:
Wakat mkutano unahailishwa mbowe aliongelea nini hivi?

Kama hukuwepo basi ungeangalia ITV ungepata kujua kilichojiri. Sauti ilikuwa haitoki vizuri. Na mwisho ni lazima utofautishe nguvu aliyotumia Mbowe kuuelewesha umma Lowasa asingeweza.
 
Tunduma nasikia ilikuwa aibu balaa...Mbowe alimshikilia mwari wake mkono huku akijaribu kuwatuliza wana Tunduma ambao wanekasirishwa na kuwaletea mgombea mchovu...

Yaani naambiwa ni gumzo mji mzima wa Tunduma...wamejione ukiwa ilivyomagumashi...

Ehe! kumbe hivyo basi makubwa, me nimejiuliza sanaa iweje tena wakat mbowe naona anaongea na vyombo safi na mpaka kawafanyia ishara ya ujinga...
 
Kuna tetesi kuwepo hujuma au wizi wa nyaya za spika zilizosababisha lowasa ashindwe kuhutubia, siku ingine tumieni WIFI
Acheni UONGO. Kwanini msizichomeke. UONGO HUU MPAKA LINI.

LOWASSA KAKIMBIA MPAKA MDAHALO, Na bado
 
Lowasa tutamchagua hata akiwa kwenye machela hoi taabani kura zetu Watanzania anazo

Mmeshikwa pabaya si mchezo, hizo kauli zako wewe tu isidhani wananchi hawajui na hawahitaji Rais aliye fit, kazi ya urais si lelemama, tuache ushabiki tu wakipuuzi
 
Watu tunajadili vyombo au Edo kutokuongea?. Mbona Mbowe ameiweka vema na wanatunduma wote wameelewa. Tukutane kesho saa 3
 
The guy was dead on his feet and drowsy.

Lawama ziende kwa doctor wake.

Hiyo ya kusema kuna matatizo ya vyombo vya sauti ni danganya toto ya kulazimisha watu wazima!

Kipaza sauti kimesumbua mbona alichotumia mbowe hakikusumbua?
 
Inabidi mke wake aingilie kati kumokoa mume wake. Hawa ukawa watamuumiza mzee wa watu na hizi kampeni kwa tamaa zao za madaraka
UKAWA sasa wamebakia na visingizo kila kukicha. Walianza na kulinda kura, haikufua dafu, sasa eti hitilafu kwenye vyombo. Sasa huyo Mbowe alitoaje taarifa kwenye vyombe hivyo hivyo vyenye hitilafu?

Hapo sasa
 
Usitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza kabisaaaaaaa
Hapa niko guest nasubilia kesho Saa 3

Mbona mbowe kaitumia mitambo hiyo hiyo na watu wamemsikia!!!! Kwa kawaida anaweza kuhutubia mikutano miwili tu zaidi ya hiyo fistula inachukua nafasi yake.
 
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.
hawa jamaa matapeli kweli!
Yaani Mbowe anatumia vipaza sauti kuwatangazia watu kuwa vipaza sauti havifanyi kazi hivyo wanaghairisha mkutano. Mkapa alisema kweli, mnawezaje kufunga biashara mara 2, kama mgombea ana matatizo wote muwe pamoja! Mbona Kikwete aliita press conference kuzungumzia tezi dume! mngeshirikishwa tu, kujua tatizo la raisi wenu ili yakitokea kama haya mnakuwa pamoja! huku ni wachache kujipa haki zaidi na kuwanyima wengine nafasi ya kufanya informed choices! ingewezekana baadhi ya watu leo wasingehangaika kupanda mabasi na kutembea umbali mrefu hadi tunduma kumsikiliza Lowasa, wapo ambao wangeopt kuja tu bila ya kujali kama ataongea au la!
hamuwezi kuingia ikulu kitapeli, raisi lazima awe mtu anayeaminika, hii janjajanja inafanya watu washindwe kusympathize na boss wenu! kama kweli vipaza sauti vinawagomea hivi, basi Mungu anaonesha watu kuwa msifanye kosa, Mungu huongea kwa ishara, lkn mkikaidi msije lalamika!
 
Back
Top Bottom