Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Jamila omari hapa ch10 kaelezea vizuri sana na nyomi ni la kufa mtu. Mitambo imeletwa mara 2 yote ikagoma. Mkutano unarudiwa kesho saa 3 asbh na wanatunduma wamekubaliana vizuri tu
 
Wadau mtupe ukweli haya magalasa huwa hayana thamani kwenye arubastini!!!.. Nini sababu Ya kushindwa kuhutubia? Na nimesoma kwenye blogs kuna watu wawili wamekufa kuna ukweli wowote.?
 
Yaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.

..collapsion?!
can you tell me the meaning plz..
 
The guy was dead on his feet and drowsy.

Lawama ziende kwa doctor wake.

Hiyo ya kusema kuna matatizo ya vyombo vya sauti ni danganya toto ya kulazimisha watu wazima!
Mtu atakayekubali kuwa tatizo ni vyombo inabidi apimwe akili..! Mikutano takribani kumi inashindikana eti tatizo vyombo...! Waaache, maana mficha maradhi...!
 
By HALELUYA MOSHI:
Sio kweli jaman!
Lowasa kahutubia na kashasepa! Idawa alikuwa anawavuta akili tangu asubuh hapa ili jioni awavunje moyo! HALELUYA MOSHI njoo huku,

Mzee yuko poa kabisa!
Kahutubia kasemaje, kabla ya yeye nani alihutubia?

Kuwa mkweli mimi niko Tunduma na ni mkazi wa Tunduma.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ccm sijui tuwasaidieje maana lowasa ndo anaenda kuwa rais wa nchi hii
 
Yaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.

Ndio maana ilani ya CHADEMA inahimiza elimu. Sasa neno " Collapsion" ni kiingereza au kigiriki? Rudi shule mbwiga weee.
 
The guy was dead on his feet and drowsy.

Lawama ziende kwa doctor wake.

Hiyo ya kusema kuna matatizo ya vyombo vya sauti ni danganya toto ya kulazimisha watu wazima!
Mtu atakayekubali kuwa tatizo ni vyombo inabidi apimwe akili..! Mikutano takribani kumi inashindikana eti tatizo vyombo...! Waaache, maana mficha maradhi...!
 
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.

Hawa ni mambulula hivyo vyombo wameletewa na ccm au? hawawezi tu kuandaa jukwaa wataweza kutawala nchi; hebu wakajipange bwana
 
Mhusika wa kampeni za Chadema hajajipanga kabisa... kwanini vifaa visifanyiwe testing mapema?
Sasa kesho mnadhani watu wataenda kama walivyoenda leo?
 
Ukiona heading ya topic: "hatimaye" ni kama vile mleta mada alikuwa anasubiria kile kilichokuwa kichwani mwake kwamba hatimaye mgombea atashindwa kusimama jukwaani. Hii ni wishful thinking kama vile fisi alivyokuwa anasubiri mkono wa binadamu uanguke apate kitoweo kiurahisi.
 
Ilibidi ujaji usahihi wa habari kuliko heading.
 
Jamila omari hapa ch10 kaelezea vizuri sana na nyomi ni la kufa mtu. Mitambo imeletwa mara 2 yote ikagoma. Mkutano unarudiwa kesho saa 3 asbh na wanatunduma wamekubaliana vizuri tu

Lakin mitambo hiyohiyo wasanii wameimba na kuongea vizuri, ugonjwa sio aibu, ni suala tu la kutaarifu kuwa mgombea hajisikii vizuri.
 
Back
Top Bottom