Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hivyo vyombo alivyotumia Mbowe vilikuwa ni vya kwenye gari la PA.
12105725_720369238094878_6499237189801155401_n.jpg
 
kama unafikir afya yake siyo nzuri mpe mama yako mzazi

Kwani wewe humuoni!!! Au ndiyo kuzidiwa mahaba. Mwambie ageuzi shingo kama anaweza. Amekakamaa kama kawekewa shingo ya chuma cha reli. Wewe umewahi kumpa mtu mama yako ili kuthibitisha afya yake au afya inapimwa hospital
 
Hiki kidudu kilichoanzisha Uzi nadhani kimepoteza sindano ikabidi kishone kwa vidole! Ni kijinga sana, tena narudia ni kijinga sana! Ukikasirika naandika tena
 
Tumeshawambia miccm kama Lowasa mgonjwa basi ataenda kufia Ikulu ,yaani CCM iondoke tu ,hili halina mbadala ,tena msitegemee kama mnavyotaka ionekane kuwa Lowasa ni mgonjwa ndio mkaweka tamaa kama Maguguli atashinda ,hilo sahauni,tena nawaomba muanze kusahau tokea leo na muondoe katika vichwa vyenu kama magufuli atakuwa Raisi wa nchi hii kwa sababu Lowasa ni mgonjwa ,ili muepuke kupata maradhi ya msituko. CCM inaondoka tena inaondoka kwa aibu kuu haijawahi kutokea duniani na afrika nzima.
 
Mleta uzi Maudhui ya swali lako na kutaka watu wajadili ilishaeleweka mapeeemaa ila kwa bahati mbaya umekutana na vichwa vigumu kukuelewa.

Nia yako ilikuwa hii...

Kujadili Udhaifu wa afya ya Mh Lowasa na jinsi mkutano ulivyo hairishwa kana kwamba Mheshimiwa ni mtu mkubwa so wasingeweza kusema mheshimiwa anaumwa na kazidiwa bali waseme vyombo vimeharibika.....

Imekula kwako Daaah nakuonea hadi huruma.
12105725_720369238094878_6499237189801155401_n.jpg
 
Tumeshawambia miccm kama Lowasa mgonjwa basi ataenda kufia Ikulu ,yaani CCM iondoke tu ,hili halina mbadala ,tena msitegemee kama mnavyotaka ionekane kuwa Lowasa ni mgonjwa ndio mkaweka tamaa kama Maguguli atashinda ,hilo sahauni,tena nawaomba muanze kusahau tokea leo na muondoe katika vichwa vyenu kama magufuli atakuwa Raisi wa nchi hii kwa sababu Lowasa ni mgonjwa ,ili muepuke kupata maradhi ya msituko. CCM inaondoka tena inaondoka kwa aibu kuu haijawahi kutokea duniani na afrika nzima.
12105725_720369238094878_6499237189801155401_n.jpg
 
Napita hapa kuangalia kipimo cha MODERATOR JF ,ila Lowasa kama mgonjwa basi ataenda kufia Ikulu.
 
yule mwenyekiti wenu a.k.a mhasibu ukipenda muite mgavi wa chama kaamua kuwakodishia mike za disco lake hahahah yule mangi kwenye hela mjanja sana
 
kura kwa lowassa tu..

Inaelekea ya mambo yake yaliponyoka tena nini! Au Gonjwa la Kumbu kumbu! Mbona Mbowe alikuwa anatumia VIPAZA SAUTI HIVYO HIVYO KUHUTUBIA?? CHADEMA Waache MAZINGAOMBWE NA UZUSHI....Wasitarajie KUKANIDHIWA DOLA NA UBABAISHAJI WAO WA WAZI WAZI,,,,,, AIBU KWELI KWELI!!!! LOWASA OUT! MBOWE OUT! UKAWA IJIPANGE UPYA SEE YOU 2020!
 
Vipaza sauti vya ukawa vina nongwa...yaani mara nyingi vinaleta ukorofi mzee akitaka kuhutubia tu
 
Bado hujaelewa tuu?
 
Attachments

  • 1445113017099.jpg
    1445113017099.jpg
    110.2 KB · Views: 372
Back
Top Bottom