Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Nilikuwa sitaki kutaja jina la K Lyn, kwasababu hata kama yuko hapo kwa ajili ya pesa au mahaba ni juu yake na ana haki ya kufanya maisha yake atakavyo siwezi kuingilia. Lakini my point of view inabaki pale pale, na huu ndio ukweli, kama unatumia mapenzi kama njia mbadala ya kujipatia riziki au kulala na mwanamume kwa ajili ya pesa you're a hoe. Kwa mtazamo wangu Gold digger wote ni sawa wauza mbunye tu. Wanafanya biashara kwa kutoa huduma wanapata pesa na mahitaji mengine.

Kuhusu binti yangu sikusema kwamba nitamchagulia mwanaume, la, ila ni vizuri kumwonyesha njia iliyo bora kuliko kujiuza.

Mkuu wauza mbunye wapo kama vile kuna wakaka walio tayari kutoa service kupata pesa,hili sikatai....ila ukiona couple ya mzee na ka binti,wako happy plz iheshimu,kama unavyoona couples nyingine,just wish them well...sio kuchafua hali ya hewa ooh nitahakikisha mwanangu this,ooh rugemarila that,na maneno ya mtaani hoe of somebody,kiburudisho....au unadhania Kylin na Mzee Mengi hawataumia wakisoma maneno yako????....unataka kusema Kylin hataona kuna direct link ulivyotoa mfano wa kumfundisha mwanao awe financially independent na kujitathmini as dongo kwake kuwa wazazi wake hawakumlea ipasavyo and she is a looser thats why yuko na Mengi?.....utafurahi siku moja watu wakamfanya mwanao afeel this way?...

..Mkuu act kama binadamu,mzazi na siku mmoja utakuwa mbabu,for a second jivalishe hivi viatu utagundua unachofanya sio fair hata kidogo.......

.bora umekubali huwezi kumchagulia mwanao mume,so akileta mbabu kama mchumba please usife kwa pressure.....hilo la kujiuza siwezi kumsemea,circumstances might change in life na wewe may be hautakuwepo duniani kumguide,anaweza kuishia kujiuza pia,......angalia hii laana isikurudie mkuu....goodnight nalala sasa lol
 
Ukiwa huna pesa wadada wazuri watakua ni shemeji for good
Rafiki wa mwenye pesa ni mwenye pesa na asiye na pesa ataishia tu kuwa kuwadi wa wenye pesa kwahiyo there's no way asiye na pesa akaja kuwa ni shemeji wa wadada wakareee!! UKimwita shem, atakuitikia kwa jina lako huku akijihifadhi asijibu "unasemaje kuwadi..!"
 
Kim nana hii tasnia labda uwe mwalimu wangu. Maana ni ngumu sana.....Kuna mtu mmoja anaitwa Dinazarde ana maneno kama chiriku ni balaa sasa naogopa asije akaanza kuniletea balaa.

Mbona Dinazarde yuko peace jamaniii.....Humu ni kama biashara ya utumbo, usiogope nzi....
Halafu raha ya umbea kusutwaa......
 
Last edited by a moderator:
Mdakuzi

Kweli don't judge the book by its cover, kumbe pamoja na mipesa yote huyu Mzee hajawahi kufurahia maisha kama kina siye pangu pakavu tia mchuzi.

Kweli maisha yana maajabu yake, unakuta malofa ndio wana happy marriage lakini nao wanakabiliwa na changamoto za kiuchumi.


Mkuu Mungu akikupa hiki anakunyima kile ndio maana na waafrika aliwapa rasilimali akawanyima viongozi bora.
 
Ingekuwa du.du haisimami sawa,kama inasimama,inakupa mapacha,unaenda dubai na france...kuna shida gani????....au useme ni adhabu gani specific utaipata ukiwa na rugemarila???,kama ushawahi kuwa nae lakini?!......acheni hizo,kila mtu ana preference zake,wewe kama unapenda kijana mwenzio,kuna mtu anapenda mzee.....and yes old people deserves some happiness as well........


Watu wanasahau kua hakuna adhabu kubwa kama kulala njaa. Bado hata hao vijana ukianza nao wakati wa shida, wakizipata wanakimbilia kwenda kuzihonga unajikuta unaumia.
 
Jestina unajibu vizuri sana kwa upeo wa hali ya juu. Thats sanity.... lols

Kuhusu mi na pesa chafu, sitakomenti. Kuhusu kuamini binti niliyemzidi 40yrs ama hata 30 amenikubali kwa kuwa ana mapenzi ya kweli kwangu, SITHUBUTU!

Good thing experience has taught me sufficiently kujua diff ya upendo, tamaa, golddiggin, etc
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona unaonekana imekuumiza sana huyo mdada kutoka na Mengi... Mdakuzi kaelezea vizuri sana hapo juu njia ambayo Kylin kapitia, kashaona sie vijana ni wababaishaji na kajiamulia kutulia na Mzee wake. Hapo kuna shida gani?? Wewe definition ya mapenzi kwako ni ipi?? Kama du.du anapewa vizuri, anatembelea gari nzuri, ana biashara inayoeleweka, account imeshiba, anaishi sehemu nzuri na akitaka vacation any place any day anaenda maisha yanataka nini zaidi?? Hapa tunadanganyana tu mapenzi mapenzi, kila binadamu anahitaji financial freedom first ili hivyo vingine vifuate..

word, na kuwa na mwanaume ambae umemzidi kipato ni taabu, full kujistukia na kutokujiamini aisee,hata ukimkosea kawaida kibinadamu atajihisi wamfanyia hivyo coz umemzidi kipato, hakuna anayependa awe na mwanaume masikini hata kama yeye ana hela, basi tu inatokea no way out, money is security
 
Mhhhh nimeikuta hii habari kwenye hiyo blog wamekopi kama ilivyo na heading juu.... wawe wana acknowledge na source basi

hahaha blog nyingi huwa wanachukua habari lakini hawaandiki kama source Jf
 
Narudia tena, mimi simjui huyu dada wala mzee Mengi na wala sipendi kuongelea personal issues. Kitu kilichonivuta mpaka kuchangia hapa ni comment ya mdau mmoja pale juu aliyesema kina kaka ni lazima kuchakalika kwani hata tukizeeka tutachukua watoto wazuri. Mimi nikasema wakina dada pia wanatakiwa kuhangaika sio wasubiri wanaume wenye pesa tu kwani wanakuwa hawana tofauti na machangudoa.

Kuhusu binti yangu, nitajitahidi kumwandalia mazingira mazuri ya kiuchumi na nimpe elimu hata kidogo ili baadae eje kuwa huru kimwili na kiakili. Naogopa asije kuwa hoe of somebody na ikitokea kuwa hivyo nitajihesabu kuna kitu nimefeli either kumwandalia mazingira ya kujiwezesha au kumuelimisha jinsi ya kujithamini.

Umeeleza vyema.:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Nilikuwa sitaki kutaja jina la K Lyn, kwasababu hata kama yuko hapo kwa ajili ya pesa au mahaba ni juu yake na ana haki ya kufanya maisha yake atakavyo siwezi kuingilia. Lakini my point of view inabaki pale pale, na huu ndio ukweli, kama unatumia mapenzi kama njia mbadala ya kujipatia riziki au kulala na mwanamume kwa ajili ya pesa you're a hoe. Kwa mtazamo wangu Gold digger wote ni wauza mbunye tu sawa na machangudoa wengine. Wanafanya biashara kwa kutoa huduma wanapata pesa na mahitaji mengine.

Kuhusu binti yangu sikusema kwamba nitamchagulia mwanaume, la, ila ni vizuri kumwonyesha njia iliyo bora kuliko kujiuza.

:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Jestina unajibu vizuri sana kwa upeo wa hali ya juu. Thats sanity.... lols

Kuhusu mi na pesa chafu, sitakomenti. Kuhusu kuamini binti niliyemzidi 40yrs ama hata 30 amenikubali kwa kuwa ana mapenzi ya kweli kwangu, SITHUBUTU!

Good thing experience has taught me sufficiently kujua diff ya upendo, tamaa, golddiggin, etc

Thanks mkuu kwa kunisifu lol,.......we do differ,kama wewe HUTHUBUTU,wenzio wamethubutu na WAMEWEZA lol......lazima tukubali kuwa kuna makundi tofauti tofauti katika jamii,kama unaona binti hakupi amani,ni gold digger then tafuta mzee mwenzio mzeeke pamoja,.....kama mwenzio taste yake ni kibinti na anampa furaha na amani then let them be........sio kuzusha this and that......umetumia key word experience imekufundisha hiki na kile,do you want to tell me,both Mzee Mengi na Kylin hawana experience kujua hapa am being used?be kimapenzi ama money?(nimetumia hayo majina kwa sababu ndio yanayozungumziwa humu)

Kuwa na pesa chafu ni kuwa na pesa nyingi,ni msemo wa mtaani haimaanishi pesa isiyo halali lol,kama nimekuelewa vibaya sorry,nilikujibu ulivyosema 'sisi'... maana yake na wewe umo Mkuu......
 
Last edited by a moderator:
Nakuunga mkono...dunia imevaa bukta...ndio maana usishangae hata watu siku hizi wana mawazo mufilisi...

Narudia tena, mimi simjui huyu dada wala mzee Mengi na wala sipendi kuongelea personal issues. Kitu kilichonivuta mpaka kuchangia hapa ni comment ya mdau mmoja pale juu aliyesema kina kaka ni lazima kuchakalika kwani hata tukizeeka tutachukua watoto wazuri. Mimi nikasema wakina dada pia wanatakiwa kuhangaika sio wasubiri wanaume wenye pesa tu kwani wanakuwa hawana tofauti na machangudoa.

Kuhusu binti yangu, nitajitahidi kumwandalia mazingira mazuri ya kiuchumi na nimpe elimu hata kidogo ili baadae eje kuwa huru kimwili na kiakili. Naogopa asije kuwa hoe of somebody na ikitokea kuwa hivyo nitajihesabu kuna kitu nimefeli either kumwandalia mazingira ya kujiwezesha au kumuelimisha jinsi ya kujithamini.
 
Hayawi hayawi sasa yamekua! Hatimae Yule mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania, Jacqueline Ntuyabaliwe(K-Lyin)

Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee machache akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo, nae bila hiyana alipoulizwa "Will you marry me" hakusita kusema "I do", Unaambiwa Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa, yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS.... (Mhhh )

Ama kweli mwenye pesa si mwenzako, All in all SHIKAMOO PESA na vijana wa kiume endeleni tu kujituma kuzisaka msikate tamaa.


nilidhani walishafunga ndoa hata ya kimila....kwa hiyo wale twins ni bastards kwa mujibu wa dini
 
I greet you Money aka dolari. Almost 30 years apart. No thank you.
 
Back
Top Bottom