Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Ingekuwa du.du haisimami sawa,kama inasimama,inakupa mapacha,unaenda dubai na france...kuna shida gani????....au useme ni adhabu gani specific utaipata ukiwa na rugemarila???,kama ushawahi kuwa nae lakini?!......acheni hizo,kila mtu ana preference zake,wewe kama unapenda kijana mwenzio,kuna mtu anapenda mzee.....and yes old people deserves some happiness as well........

Hapo kwenye red, inamaana unakubali kuwa kiburudisho? Anyway, kumbe issue ni kupelekwa Dubai na France na wala sio penzi, basi huo ndio tunauita uchangudoa.
Halafu ukae ukijua kuna watoto wengine wakike na wamezaliwa uswahilini lakini hivyo viwanja ulivyovitaja wanakwenda wenyewe bila kuchezea makende ya watu wazima. Ni kujituma tu, lakini kama unapenda njia za mkato huzuiwi.
 
......Salamander acha wazee wapate raha pia, kwani kuna ubaya gani kuchezea makende ya mzee? Kwani baba yake huyo useme atapata laana. Hata kwenye bible tunaambiwa Solomon alikuwa na wake 1000.........unafikiri hao wote walikuwa rika lake? Alichukua hata dogodogo.

.....tokea enzi hizo haya mambo ya wazee kuchukua dogodogo yalikuwepo,hayajaanza leo wala jana.
 
Kama ni uchangudoa,changudos wangapi wako dubai na france kwa sasa????...unataka kuniambia kama mume wangu anataka kunipeleka france nikatae just because he is old na mie nitaonekana changudoa?....

yes kuna wadada wana hela wanapita hivyo viwanja kwa hela zao,ila kama unapelekwa na mzee
pia poa,kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.....kila mtu ana maisha yake,msitake kuimpose what is right kwa watu jamani......

Huo mstari uliohilight,nareserve coments kwa sasa ukifika 70years old utauelewa maana yake,sali uwe na mkeo wa ujanani na anakupa furaha na amani,otherwise utanikumbuka jestina wa jamii forums!
 
Hapo kwenye red, inamaana unakubali kuwa kiburudisho? Anyway, kumbe issue ni kupelekwa Dubai na France na wala sio penzi, basi huo ndio tunauita uchangudoa.
Halafu ukae ukijua kuna watoto wengine wakike na wamezaliwa uswahilini lakini hivyo viwanja ulivyovitaja wanakwenda wenyewe bila kuchezea makende ya watu wazima. Ni kujituma tu, lakini kama unapenda njia za mkato huzuiwi.

Mkuu mbona unaonekana imekuumiza sana huyo mdada kutoka na Mengi... Mdakuzi kaelezea vizuri sana hapo juu njia ambayo Kylin kapitia, kashaona sie vijana ni wababaishaji na kajiamulia kutulia na Mzee wake. Hapo kuna shida gani?? Wewe definition ya mapenzi kwako ni ipi?? Kama du.du anapewa vizuri, anatembelea gari nzuri, ana biashara inayoeleweka, account imeshiba, anaishi sehemu nzuri na akitaka vacation any place any day anaenda maisha yanataka nini zaidi?? Hapa tunadanganyana tu mapenzi mapenzi, kila binadamu anahitaji financial freedom first ili hivyo vingine vifuate..
 
......Salamander acha wazee wapate raha pia, kwani kuna ubaya gani kuchezea makende ya mzee? Kwani baba yake huyo useme atapata laana. Hata kwenye bible tunaambiwa Solomon alikuwa na wake 1000.........unafikiri hao wote walikuwa rika lake? Alichukua hata dogodogo.

.....tokea enzi hizo haya mambo ya wazee kuchukua dogodogo yalikuwepo,hayajaanza leo wala jana.

Kuna watu wana stress zao tu, unajua kitu cha kupretend utakijua tu. Ila for sure Kylin yuko very happy n proud na mzee Mengi. Kuna watu wanafikiri hawa wazee ni magoigoi kama vijana wa leo, hahaha yule mzee kala sana vipere kula uchaggani akiingia uwanjani anapiga game kama Messi vile
 
Mkuu mbona unaonekana imekuumiza sana huyo mdada kutoka na Mengi... Mdakuzi kaelezea vizuri sana hapo juu njia ambayo Kylin kapitia, kashaona sie vijana ni wababaishaji na kajiamulia kutulia na Mzee wake. Hapo kuna shida gani?? Wewe definition ya mapenzi kwako ni ipi?? Kama du.du anapewa vizuri, anatembelea gari nzuri, ana biashara inayoeleweka, account imeshiba, anaishi sehemu nzuri na akitaka vacation any place any day anaenda maisha yanataka nini zaidi?? Hapa tunadanganyana tu mapenzi mapenzi, kila binadamu anahitaji financial freedom first ili hivyo vingine vifuate..

Labda umenielewa vibaya, mi simjui huyu dada in personal kwa hiyo swala kuniumiza halipo kabisa. Kama ulifuatilia tangu nilipoanza kuchangia hapa utaona nilimjibu mtu aliyesema makaka tunatakiwa kuchakalika sasa kwani pesa inaleta heshima, na mimi nikajibu na kina dada vile vile wanatakiwa wajitume siyo kupenda vya bure. Anyway, kila mtu na maisha yake, lakini ikitokea siku binti yangu anatoka babu sababu ya pesa zake, ntajihesabu kuna kitu nimefeli.
 
Hapo kwenye red ndio msingi wa post yako.. Je akitoka na babu kwa kumpenda kwa dhati besides his money hapo utasemaje???
 
Labda umenielewa vibaya, mi simjui huyu dada in personal kwa hiyo swala kuniumiza halipo kabisa. Kama ulifuatilia tangu nilipoanza kuchangia hapa utaona nilimjibu mtu aliyesema makaka tunatakiwa kuchakalika sasa kwani pesa inaleta heshima, na mimi nikajibu na kina dada vile vile wanatakiwa wajitume siyo kupenda vya bure. Anyway, kila mtu na maisha yake, lakini ikitokea siku binti yangu anatoka babu sababu ya pesa zake, ntajihesabu kuna kitu nimefeli.

Una evidence Kylin anatoka na Mzee Mengi kwa sababu ya hela zake???....ama sijakuelewa unavyosema ukiona mwanao anatoka na mbabu kwa sababu ya pesa zake utajiona umefeli?
 
Narudia tena, mimi simjui huyu dada wala mzee Mengi na wala sipendi kuongelea personal issues. Kitu kilichonivuta mpaka kuchangia hapa ni comment ya mdau mmoja pale juu aliyesema kina kaka ni lazima kuchakalika kwani hata tukizeeka tutachukua watoto wazuri. Mimi nikasema wakina dada pia wanatakiwa kuhangaika sio wasubiri wanaume wenye pesa tu kwani wanakuwa hawana tofauti na machangudoa.

Kuhusu binti yangu, nitajitahidi kumwandalia mazingira mazuri ya kiuchumi na nimpe elimu hata kidogo ili baadae eje kuwa huru kimwili na kiakili. Naogopa asije kuwa hoe of somebody na ikitokea kuwa hivyo nitajihesabu kuna kitu nimefeli either kumwandalia mazingira ya kujiwezesha au kumuelimisha jinsi ya kujithamini.
 
Mapenzi hayachagui umri....na kisha binti yako whatever you do,itafika stage atakuwa independent kufanya decisions zake mwenyewe,awe na boyfriend gani.......sasa sali apate kutulia na 'kijana' kama unavyotaka,......wakimtibua akapata mzee mwenye mapenzi ya kweli ujue imekula kwako!....halafu acha kuingilia maisha ya watu mkuu nani hoe of somebody hapo?????yaani wanaotembea na wazee ni mahoe??....huamini kunawezekana kuwa ni pure love?!sad aisee....unaongea kama siku moja hautakuwa mzee??,
 
Narudia tena, mimi simjui huyu dada wala mzee Mengi na wala sipendi kuongelea personal issues. Kitu kilichonivuta mpaka kuchangia hapa ni comment ya mdau mmoja pale juu aliyesema kina kaka ni lazima kuchakalika kwani hata tukizeeka tutachukua watoto wazuri. Mimi nikasema wakina dada pia wanatakiwa kuhangaika sio wasubiri wanaume wenye pesa tu kwani wanakuwa hawana tofauti na machangudoa.

Kuhusu binti yangu, nitajitahidi kumwandalia mazingira mazuri ya kiuchumi na nimpe elimu hata kidogo ili baadae eje kuwa huru kimwili na kiakili. Naogopa asije kuwa hoe of somebody na ikitokea kuwa hivyo nitajihesabu kuna kitu nimefeli either kumwandalia mazingira ya kujiwezesha au kumuelimisha jinsi ya kujithamini.

Uko smart sana mate, hongera
 
Mapenzi ta ukubwani ,nawakumbuka Tancut Almasi na wimbo wao ''mapenzi ya pesa'' unaohusu watu wazima wanapoongozana utadhani ni mama/baba na mwana kumbe ni wapenzi.huu wimbo tutamtumia kama zawadi Mzee Machache
 
Mapenzi hayachagui umri....na kisha binti yako whatever you do,itafika stage atakuwa independent kufanya decisions zake mwenyewe,awe na boyfriend gani.......sasa sali apate kutulia na 'vijana' kama unavyotaka,wakimtibua akapata mzee mwenye mapenzi ya kweli ujue imekula kwako!....halafu acha kuingilia maisha ya watu mkuu nani hoe of somebody hapo?????yaani wanaotembea na wazee ni mahoe??....huamini kunawezekana kuwa ni pure love?!sad aisee....unaongea kama siku moja hautakuwa mzee??,

Hapo juu nimerudia na kurudia lakini bado hujanielewa, nimeshasema hapa siongelei issues za hao watu kwasababu siwajui. Ninachosema ni kuhusu wanawake in general, na wao wanatakiwa wawe kama wanaume, lazima wachakalike na waishi maisha yao. Lakini ukisema hoo mimi ni mrembo natafuta mwanaume mwenye pesa nimpe penzi anihudumie kila kitu, you're just a hoe.

Kuhusu binti yangu, she's just a 2 months innocent baby, but I have a dream on her. Sitaki kuamini nitashindwa kumwonyesha njia iliyo sahihi maishani kwasababu najua.
 
Mkuu umeshindwa kuonyesha Kylin yuko kwa Mzee Mengi kimaslahi period,end off......yaani kwako mtu akiwa na mzee ni hoe,wakati tunaona vijana kwa vijana mahoe....?!.....na kama ungenielewa nilivyosema itafika stage mwanao atamake independent decisions wala usingeleta mfano wako wa kushindwa kwenye malezi unless uwe dictator umchagulie mwanao mume wa kumuoa kama wahindi wanavyofanya........au unataka kusema watu waliopitia broken relationships,wazazi wao walikuwa wamezubaa kny malezi??umeambiwa vijana walimsumbua kylin before kumpata mzee mengi,plz onyesha wazazi wa Kylin walipokosea kumlea???hutaki kumuongelea kylin,unajificha kny hili chaka,wakati topic ni Kylin being engaged,na unatumia maneno kama kuwa na 'mbabu kwa sababu ya pesa zake' afu unataka tusiunganishe dots....mazee kuwa serious.....hongera kuwa na kababy tho lol
 
Nilikuwa sitaki kutaja jina la K Lyn, kwasababu hata kama yuko hapo kwa ajili ya pesa au mahaba ni juu yake na ana haki ya kufanya maisha yake atakavyo siwezi kuingilia. Lakini my point of view inabaki pale pale, na huu ndio ukweli, kama unatumia mapenzi kama njia mbadala ya kujipatia riziki au kulala na mwanamume kwa ajili ya pesa you're a hoe. Kwa mtazamo wangu Gold digger wote ni wauza mbunye tu sawa na machangudoa wengine. Wanafanya biashara kwa kutoa huduma wanapata pesa na mahitaji mengine.

Kuhusu binti yangu sikusema kwamba nitamchagulia mwanaume, la, ila ni vizuri kumwonyesha njia iliyo bora kuliko kujiuza.
 
We acha tu! Tena ukija kuangalia hawa Mamiss aliowapitia pitia, hasa wa Miss Ilala walikuwa wakimwachia maumivu tu. Na zaidi yule mrembo anaitwa Dotto Nusurupia aliyemnunulia ile Benz nyeusi aliyokuwa akiwakimbiza nayo warembo wenzie, lakini mwisho wa siku akapigwa mimba na mshikaji mwingine.
Unadhani kwanini Mzee aliamua kuishikia bango issue ya dawa za kulevya kwenye vyombo vyake vya habari? Ilikuwa ni kwa ajili ya Kinje, ambaye walizinguana kwa K Lyyin wakati akitoka kutwaa taji la Ilala, kwa sababu K Lyyin aliwapiga tri angle, mzee akajiondoa. Ila Mzee anajua kuchagua visu hahahahaaa!
Ova

Hivi Dotto nusurupia yuko wapi nowdays
 
Back
Top Bottom