Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Ukitaka mwanamke akupende wewe mpe hela tu, tena na tena na tena atakuita baby hata kama una umri wa babu yake.!
 
Hongera K lyn ! Vijana wanaumia sana! Pesa ni kila kitu!
 
ndo kuna usemi mpya saivi mjini.,, ''MAHABA NIUWE'' ,,
 
Daaa bado letamkoz kumvisha Pete mchumba wake uknw sherehe itafanyika viwanja vya instagram....hahahhaha supergadem mburulaz lazima waone wivu uknw!
hahahaha
 

Attachments

  • 1418239212051.jpg
    1418239212051.jpg
    41.8 KB · Views: 2,149
Back
Top Bottom